Katika maaandiko takatifu yesu arijaribiwa na shetani kwa kumuambia badli jiwe hill kua mkate lakini aksema siwezi mjaribu bwana mungu wangu, JE? kama wewe mwana JF ikatokea shetani akakujaribu...
Unatoa Makamasi Kwa Kutumia
Kitambaa Halafu Unarudisha Kitambaa
Mfukoni, Ili Iweje?
... Unanunua Ndizi Mbivu Halaf Unaosha
Vizuri Ganda La Nje Then Unamenya
Unalitupa Ganda, Uliosha Ili Iweje...
Usisahau kuwa unyenyekevu na uaminifu ni vitu muhimu vinavyoitajika ili uweze kung'ara katika vipindi mbalimbali kwenye maisha yako....
Kweli ni kwamba ukitaka kufanikiwa zaidi...
BONGO sometimes vitu bei poa sana....jana
nimekatiza mitaa ya Karume nikakuta Shuka
mpya shilingi 2,500, ..yaani bei ya soksi halafu
jamaa anasema ni Pure Cotton kutoka
Thailand....aisee kidogo...
Umoja Wa ma Boyfriend wasumbufu Tanzania(UBOTA)...
Tunependa kuwatangazia wana chama wetu kua bado kauli mbiu yetu ni ile ile "ntakuoa mwakani" usijaribu wala kushawishika kuingia kwenye ndoa...
Kwa anaeuza Noah namba D bei kuanzia milioni 9 mpaka 12 au anaeuza BMW namba D toleo jipya kuanzia milioni 25 mpaka 35, na wauze tu mimi sina hata shilingi tunashindia maembe tu....ningekuwa nayo...
Kuna mambo nimejifunza kwa watu, na mengine nimejifunza kupitia humuhumu JF, Dah, yaani wakuu nahisi kabisa naelekea kuwa mchawi, yaani........ Naomba wanielewe tu watakaonielewa inatosha ingawa...
DUU HAYA NDIYO MAPENZI YA KIBONGO BWANA UTAIPENDA TU.
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;-
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME...
Kama kinavyojieleza hapo juu.kwa wale tunaoanzisha uzi au mjadala hapo kwenye majukwaa, lakini ni nani ukiona amechangia (commet)kwenye huo uzi angalau unafurahi..tuanze kuwataja
Mimi wapo...