JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Back to back downtown to back to back last week guys pamoja na uchovu wa masafarizz nliokuwa nao lakini siwezi kulala bila ujumbe huu guys You know fanyeni kazi guys ili tuenjoy maisha you know...
0 Reactions
1 Replies
610 Views
Hatimae jiji la Dar es Salaam limepata ugeni mzito kutoka kanda ya ziwa. Ugeni huu umewafurahisha wakazi wengi wa jiji la DSM na viunga vyake na wengi wao wakimtaka abaki nao kwa muda mrefu zaidi...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Ukimuonaa mwanaume anapendaa saana kwenda la chalz sinza ujue naye ni mtumiaji wa mtandao wa goti manake pale ndo soko lao kuu zamani ilijulikana kama lavico .....So kuwa makini sio kilaa bar ya...
7 Reactions
204 Replies
26K Views
*CHEKI HII* *Jamaa:Hello* *mpezi,mambo!* *Demu: Poa han, vp?* *Jamaa: Nipo nje ya* *gate hapa kwenu,* *Njoo basi.......!* *Demu: aaa, sorry* *mpenz nipo Dodoma!* *Jamaa: mmmh, poa* *basi...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
963 Views
Wadau kama kuna mwenye raman ya nyumba room 3 anisaidie..au hata link ya pahal naeza pata
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Wamakonde fulani siku moja walikuwa kwenye roli wakielekea msibani...waliimba nyimbo mpaka zikaisha wakabaki wanaangaliana basi mara mmakonde mmoja akajichoma na msumari akaanza kulia ''MAMAAAA...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ndugu zangu naomba ushauri. Hali imekuwa ngumu. Nimeanza kusoma number za kirumi sasa. Natamni nikalime bange. Naomba ushauri. Inalipa?
4 Reactions
44 Replies
7K Views
*linalojamba ni tumbo makalio ni spika tu*
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama kichwa kinavyosema hapo juu. Naombeni mnitajie list ya Wines and Spirits mnazozifahamu. Shukrani sana..
1 Reactions
33 Replies
11K Views
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama kuna mtu ana shida na hela naomba aje kuchukua, mie nipo hapa kwenye ATM hakuna foleni kabisa Asante!
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna hawa wanaJF walikua wana vituko sana, yaani kipindi cha nyuma kulizuka katabia ukitundika tu nyuzi utaona mtu anakuambia weka picha, hata saa zingine huo uzi hauhitaji picha utaombwa picha...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza chinchilla coat Ndiyo miss humu jf anayekosha Sana Moyo wangu hasa pale ninapoona post zake. Kutokana na upendo wangu kuzidi kwake nimejikuta naandika...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.. Mwalim mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mzee mmoja alinunua Robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao dogo akaulizwa umepata ngapi kwenye mtihani dogo akajibu mia mara Roboti likamchapa kofii Baba akasema mi enzi zangu nlikuwa...
2 Reactions
2 Replies
805 Views
Tunalinganisha na majina ya Movie wewe ungempa jina gani.
2 Reactions
144 Replies
10K Views
Wadau mliomalizia shule ya sekondari Kigoma tukutane hapa,hasa kwa wale mliosoma hapo kuanzia 1994 hadi 1999.Mnamkumbuka mtaalamu wa kemia Mama Mashaka?Pia mkuu wa shule wakati ule Martin...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Mimi Hamis Abeid (mr amazing) naungana na watanzania wenzangu katika kampeni ya "PIGA CHINI MICHEPUKO" ili kulinda heshima ya mahusiano na kupunguza kasi ya maambukizi ya magonjwa. PIGA CHINI...
0 Reactions
1 Replies
520 Views
It will one day make sense/Nikisema hakuna president kama JK/ Tanzania inakumiss yaani daily/ Kwa niaba ya wabongo I’M SORRY JK/I’m sorry JK nimeona tu niseme/ Mzuka huu niliupata nikiwa Juu...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom