JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeweka hii topic niangalie jinsi wa Tz wanavyokurupuka wakisiki neno UTAJIRI si unaona umesoma fasta. Pumbaaaaaaaaaaaf!!!!! hakuna utajiri wa haraka chapa kazi.
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Sasa nmepata kuelewa kwa nn 50 cent alisema get rich or die trying Tangu nmekua nmeona visa vingi vya kufanya niione nafasi ya mwenye pesa na asiekua na pesa katika jamii Mtu yoyote akisema...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wapendwa wana Jamiiforums Leo ni siku yangu ya kuzaliwa, naomba unitakie chochote kile unachoona wewe kinaweza kunifariji na kunifurahisha siku yangu muhimu ya leo. Akhsanteni sana na MUNGU...
4 Reactions
81 Replies
9K Views
Wakuu, Kwa kweli nimetokea kumpenda sana huyu Dada Elizabeth Michael (lulu) na kama nikipata namna ya kuonana nae tukafanya mazungumzo tukielewana naoa kabisaa! Japo naombeni msaada namna ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Enzi za Shule,… Unatoka chumba cha mtihani wa hesabu na unakuta magwiji wa namba wanabishana. Mmoja anasema jibu ni 3 na mwingine anasema ni -3 wakati wewe umepata jibu 41,987. Hapo ndio...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Vijana
0 Reactions
5 Replies
600 Views
Twende Pamoja Hivi Inafaa Kukaa Muda Gani Baada Ya Kula Kwa Jirani Ndio Uondoke Usionekane Kama Ulifuata Msosi???? Nini Maoni Yako Mdau Wangu
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nataka kula bata next weekend, i want to enjoy ila sijui niende wapi. Am an indoor person, hua sitoki toki so nitajien sehemu ambazo kutakua maybe na kashow au karaoke au event yoyote nzuri nzuri...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Niaje wazeiyaaah.. Mko Bwaxx.. EBANA SAWA : Nyie waswahili nasikia mwasema "kosea maisha usikosee nini...." Haya bana... Kwa kuwa Namie sitaki kabisa kuja kujuta baada ya kuingia kwa ndoa...
0 Reactions
94 Replies
8K Views
Wandugu,nilijiapia mwaka huu sitaki tena mambo ya michepuko lakini naona nimewekwa majaribuni.Tena na demu wa jamaa jirani yangu tu.Sina mazoea naye ya ki vilee...lakini siku za karibuni hapa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kweli mziki wa bongo flava unapaa maana si kazi rahisi msanii wa bongo flava kuhudhuria na kutumbuiza kabisa siku ya kuapishwa rais mteule wa Marekan bwana Trump. Kwa taarifa rasmi kutoka white...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Hizi singeli sasa hatari. Mwalimu wa usafi aliingia darasani akakuta darasa chafu ikabidi aulize wanafunzi "Zamu ya nani leo?". Wanafunzi wakajibu "Zamu ya man fongoooooo!" Mwalimu akabaki...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
*That awkward silence when Abraham and Isaac were walking back home after he tried to sacrifice him.* Abraham: I love u son ISAAC: Nyoko[emoji57]
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Hakika siwezi pitisha usiku mmoja bila kula tunda hili Mara tatu, saa 4 usiku, 8 usiku na 12 alfajiri! Nashindwa kujizuia jamani, nimejaribu sana kujizui walau iwe Mara mbili au moja ila...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
・・・ USITHUBUTU *KUTIZAMA MPIRA UKIWA NA MWANAMKE NI QUESTION QUESTION STRESS TUPU* *Mke:* _Honey timu gani zinacheza leo?_ *Mume:* ```Arsenal vs Manchester Utd``` *Mke:* _oooh safi sana...
10 Reactions
23 Replies
4K Views
Unaangalia muvi ya Yesu waloigiza wabongo Maria: Yosefu nina mimba Yosefu: Yesu wangu! mimba ya nani? Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa maana km ni mimba bado hata...
19 Reactions
26 Replies
5K Views
Mtumishi wa MUNGU mmoja akiwa kwenye gari alisimamishwa na Trafic Police. Police akiwa anahitaji rushwa alianza kuuliza maswali mengi, mara mbona gari lako linatoa moshi mwingi? Mbona gari lako...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
2 Reactions
24 Replies
3K Views
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*, *Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
*```Unakuta MTU mwaka 2016```* *```umehudhuria, birthday parties 20 , misiba 30,```* *```mikutano kanisani 40,```* *```Ndoa 80 na bado uko single,, Kwani wewe ni turubai jaman ??
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom