JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. Guys it's scary. Loti's wife just turned into a pillar of salt.. # Shaking ! 2. Pimping my Camel.. Jerusalem here I come@Jesus 3. Chilling with Moses by Mount Sinai..Miracles be going down...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
*Kuna jamaa hapa alikuwa anatoa ushauri kwa wadada eti Acheni kuwa mnakubali wanaume wengine wakati bado uko involved na mwanaume mwingine...demu kampa jibu eti kwani Ukienda kununua kiatu...
10 Reactions
10 Replies
3K Views
UNAPANDA DALADALA IMEANDIKWA BANGO KUBWA,FOR SALE HUWA INANIKERA SANA
0 Reactions
4 Replies
1K Views
*Kwa wale niliowakosea 2016, nimewakwaza, walinikasirikia......hilo lilikuwa ni trela tu........ngoja sasa muone 2017 ntakavyo wawashia moto.[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57]*
0 Reactions
5 Replies
2K Views
_Jamani punguzeni pombe,kuna jirani yangu amerudi amelewa sasa nachungulia dirishani naona anagonga mlango wake takribani masaa mawili,wakati hapa anaishi peke yake, kwakuwa sipendagi ujinga...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani Mie mgeni humu
2 Reactions
151 Replies
11K Views
Paper ya NECTA 4m 6 'imeleak', kama una ndugu yako mtumie, 1.History 2: Discuss the rise of Arsenal and the fall of Man U in regard to 2016/2017 season. 2.Biology 1: Explain the biological...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
1 Reactions
0 Replies
707 Views
andika jambo unalojua ni la kipumbavu zaidi.... mimi najua nilivyoandika hii post ndo ya kipumbavu zaidi.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Watu wamekuwa wagumu sana kusamehe wenzao na kuwaona ni wadhambi ,wakosefu,,dini inatufundisha tusameheane utukufu uwe nasii pamoja,yule mwanamke aliepelekwa kwa Yesu na kusemwa ni kahaba ,alipiga...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari ndo hiyo kama kichwa cha habari, lakini ni ukweli mtupu na pia napenda niwahakikishie wanawake sie pale kwa 6 by 6 ni wanyama, tuna pumzi ya mbwa na mikunjo na miguso ya washawasha. Hii...
4 Reactions
144 Replies
51K Views
Mkuu wa kaya kwa kweli kabana sana wale madem walio kua wamewekwa mjini na mapedeshee sasa ni kilio..wale madem walio kua wanaishi mjini kutegemea miili yao sasa ni kilio..wale madent walio kua na...
1 Reactions
14 Replies
6K Views
A beer company was hiring a taster, someone to taste the beers before selling out. So they placed adverts and one afternoon, a dirty, rough looking man walked into the manager's office asking to...
3 Reactions
2 Replies
957 Views
Mwana JF haya maswali umekutana nayo wapi au katika kitabu gani? 1. Ni nini na ni wapi Kumbi Saleh? 2. Ni nini na ni wapi Garaganze? Kwa kupitia maswali haya tutawajua wanafunzi wa 1980s, 1990s...
2 Reactions
14 Replies
4K Views
Nmetengeza ka group hapa MARAFIKI ZETU Karibun litakua poa tu hakunaga vurugu
0 Reactions
1 Replies
502 Views
0 Reactions
117 Replies
8K Views
1.Ganda la Muwa la Jana Chungu kaona Kivuno- The Yesterday Cover of the Sugarcane The Pot has seen Ki-Harvest 2.Ukiona Manyoya jua kaliwa-When You see Feathers The Sun is Eating 3.Ukiwa mjanja...
6 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakati nasoma Shahada yangu ya kwanza, tulitumia diski tepetevu, kicharazio, kirudufu, kinukuzi na kiteuzi. Ilikuwa nadra sana kukuta mwanafunzi anatumia nywila kwenye kipakatalishi. Hata vitu...
6 Reactions
24 Replies
4K Views
magufuli bwana ndo rais wa tanzania
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom