Habari za usiku JF;
Baada ya chats za muda mrefu, hatimaye naenda kuonana na huyu binti ambaye kwa kweli kwa namna ninavyochati naye naanza kuamini YALIYOMO YAMO.
Nitawaletea updates za safari...
habarini wapendwa wangu
Nimewamiss sana na kitambo sijathread humu ndani kutokana na ubusy wa maisha
so ndo nimejisongeza kwa upya tena mama mfundaji wenu, nitakuja na mada kabambe
za mwaka mpya...
Wakuu salamu kwenu, nimeshindwa kuvulia hili jambo kuna dada humu jf anaitwa scorpio me kauteka moyo wangu nimejaribu kum pm lakini hanijibu.. nimeona ni bora nifunguke kama alivyofanya stereo...
Dada yangu nimojawapo wanaotoa huduma za tiGO pesa sasa juzi katumiwa message direct kutoka tigo. Nasema 'direct' kwasababu haikuleta namba yakawaida ilileta FAIDIKA WAKALA. Wakamwambia...
Yule jamaa kwenye tangazo la Vodacom "naenda kwa bibi" kagundua ile pesa mkewe alitumiwa na mchepuko na sio Vodacom,Hatua aliyochukua ni kurudi mjini kwa mguu nimekutana nae hapa Bunda imebidi...
Miye kwa kweli sikubali, yaani kucheza kote kule ngoma ya Kibati Mheshimiwa alipokuja kupiga kampeni Unguja na Pemba ina maana ndo keshatusahau!
Hebu nihabarisheni wenzangu huko Bara weshaitwa...
Hili tukio lilitokea kipindi cha nyuma... nimeona nilieke hapa jukwaani myaone wenyewe wana JM.
Tulikuwa tupo ndani ya basi kwenye mizunguko ya kawaida... kila mtu na shughuli zake na mawazo yake...
Dah,wakuu ase nahisi huu ni ugonjwa au addiction ya hii JF yetu,sio kwa kiasi hiki kiukweli nimekuwa natumia muda mwingi katika siku yangu kufatilia habari na kucomment katika majukwaa...
Kipindi kimekuwa kigumu mno.Hela hamna,matumizi yaleyale..watoto ada zilezile.Pesa haipatikani, hata kwa mm ambaye siyo fisadi na sitegemei kuwa fisadi.
Usingizi mnono ulikuwa mwisho July 2015...
Wasichana hii tabia yenu ya kwenda kwa boyfriend wako huku umevaa pedi za Angels normal na kuzipaka tomato si nzuri.
Eti unasingizia upo kwenye siku zako muache hii tabia
KUNA mwenzenu huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.