JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mara nipo napokea simu eti baby mambo, nikajibu powa , eti Leo sikuku hunitoi out? Nikauliza sikukuu gani, akajibu kwa kujiamini SIKUKUU YA KUPATWA KWA JUA. UNAZEEKA VIBAYA BABY JAMAN KWAHIYO...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani mie ni mgeni photoshop, but leo nimejaribu kuchora kitu kinachosomeka na nimeweza Kwa wanaopenda sanaa ya uchoraji, hii program ni nzuri sana
3 Reactions
5 Replies
3K Views
"Unanijua mimi ni nani?" Hili swali la kimkwara mkwara lilitutesa sana sisi wanyonge. Sasa hivi sijalisikia tangu October 2015.
4 Reactions
56 Replies
5K Views
Habari wanakijiji wenzangu, Imekuwa kawaida humu ndani mtu kumkubali mwingine au pengine kutomkubali. Mara nyingi bila hata kuwahi kuonana uso kwa uso au kuona picha za mhusika. Watu hutoa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari Waungwana? Bila shaka tutakubaliana kuwa kukutana katika Mitandao ya kijamii kwa wengine kumepelekea Ukaribu wenye tija, faraja na wa-kuenziwa Hata hivyo, Binadamu tuna mengi, Ni...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Poll Poll
Imekuwa kawaida kwa mtu kuingizwa kwenye kundi fulani hasa anapokuwa ametoa maoni yake yasiyo wapendeza watu fulani! Kutokana na mchango wa mtu basi watu wanaopingana naye humwita kuwa ni kundi...
1 Reactions
18 Replies
936 Views
leo ni siku takatifu kwa wale wanaoamini kutokana na imani zetu tulizojaaliwa nayo. katika ibada zetu tuiombee majukumu yetu tunayoenda kuianza kesho jumatatu, tuiombee serikali yetu,tuiombee...
3 Reactions
7 Replies
931 Views
K??
Wakuu ati,hii ngoma ya bhaghdad na roma yaikuitwaga K" Imekaeje ase?
0 Reactions
0 Replies
449 Views
K??
Wakuu ati,hii ngoma ya bhaghdad na roma yaikuitwaga K" Imekaeje ase?
0 Reactions
0 Replies
397 Views
1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebu kwanza……. 4. Kamwe haiiti always vaibration. 5. Namba...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Fundi majeneza alipata oda ya Jeneza akawa anapeleka kwa gari lake. Njiani gari ikaharibika, akaamua kubeba kichwani kumpelekea mteja wake akakutana na askari wa4 wakiwa doria, akajua lazima...
1 Reactions
0 Replies
802 Views
Donald Trump is planning 2 paint the White House in preparation 4 his term in office as USA president. He asked Chinese contractors how much they would charge. They said 3 million. He asked...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
.......1- Kukutwa unajaribisha viatu vya Mgeni 2- Mgeni kukutwa anaongeza maji ya Ugali
0 Reactions
2 Replies
980 Views
teh teh teh ! Rais nyerere Mungu ailaze mahali pema peponi amina! ulipotutoa hakika unastahili pongezi zisizo na kifani. asingekuwa wewe ............... swali linahitaji majibu wanajf
0 Reactions
5 Replies
821 Views
Madenge aliulizwa na baba yake "eti kirefu cha KKKT ni nini? Madenge akajibu "kimbaombao kanenepa kawa tukunyema"
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Wandugu, Kuna kosa gani kama nikipiga picha navuta shisha?
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Mpaka sasa raisi wetu ameshatunukiwa PHD za Heshima 6,na mimi naomba niwatunukie Phd za Uvumilivu wale wadada woteee ambao ukiwaangalia ni wembamba lakini siku atakayokutambulisha "PLEASE MEET MY...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Nakereka natabia za watoa huduma kwa wateja wanaoniambia nkusaidie nini? au unatatizo gan? Unakuta mtu umeamua kupiga customer care vodacom kana pokea kadada kanajitambulisha vizuri alafu...
1 Reactions
1 Replies
680 Views
siku moja Ndenshau alikosema kutuma laki mbili na kupiga simu huduma kwa wateja maongezi yao yalikua hivi: Mhudumu: Halo! unaongenga na JACOB toka BOGACOM,nikusaidie nini? Ndenshau: Halo...
0 Reactions
2 Replies
853 Views
Back
Top Bottom