UTABIRI wa hali ya ndoa; Wanaume watakuwa wakali kipindi cha mwezi Januari hadi mwishoni mwa februari kuelekea mwanzo mwa mwezi Machi, na kwa wanawake walioolewa na watumishi wa umma, kwao...
Wazee wa zamani bhana.. kwakweli walikosa kazi, yaani wanakaa wananusa mavi halafu wanatunga methali eti "MAVI YA KALE HAYANUKI"[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Leo ndio sikukuu ya krismas, pale kwenu na kwa jirani yenu, kuku wengi Leo wamefariki.
Taarifa zinasema maiti hizo za kuku zitazikwa kwenye kaburi la mdomo wako na kufukiwa tumboni.
Cheka walau...
Nimeweka humu ila hii ni true story!
P.E=pumbu erosion:
kipindi hicho mazengo kabla haijawa saint john university sisi ndio tulikuwa wanafunzi wa mwisho mwisho!Sasa vyoo vilikuwa...
"Aaaa Mungu kanipa kauli nzuri niongee na watu kwanini wasinipendeeeee"
Msiniite mswahili japo mie mtanzania nazungumza kiswahili na kiswahili asili yangu. Wanajamii taarabu zinamafunzo kweli...
Habari zenu wanaJF
kuna hii style ya kisasa inaitwa Dab ..
Ina maana gani??
maana inanikera Sana
kwenye Maharusi Dab,Mashuleni Dab Mitaani yani kwa kifupi Everywhere!
Ina maanishaje?
Jamani mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hapa jirani kuna baba mmoja ambae ana watoto wawili wa kiume. Baba huyu inasemekana ni jambazi wa kutupwa. Aliwafundisha watoto wake ujambazi na namna ya kuua...
Mara nyingi ukikuta watu wana urgue. ...kuna mtu mmoja kati yao ni ignorant. ....
Hivyo kila kwenye mzozo tafuta kumjua ignorant then songa mbele.
Kipimo hiki ukikitumia vizuri kitakupunguzia...
Niko na Serengeti ya tatu mdogo mdogo naogopa kufloat mapema niko jijini mwanza, BTw watoto wazuri pia wamenizunguka muda huu Wao nimewaambia waagize kile wanataka naona wanaleta usasa wa sprit...
Mzee mmoja alinunua robot ambalo mtu akiongea uongo linampiga kibao! Dogo akaulizwa na baba yake umepata ngapi kwenye mtihani? Dogo akajibu mia, mara robot likampiga kibao pwaa! Baba akasema mimi...
Hivi vitu bhana ukiwa na stress vitumie kula pombe za kutosha piga muziki huyo demu wako aliekuzingua unamsahau fasta tu ndo mana darassa kasema MAISHA NA MUZIKI na SI MAISHA NA MAPENZI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.