JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Mtoto John Tangu Azaliwe Alikuwa Hawezi Kuongea kabisa!, Siku Moja Akaita Bibi... Kesho Yake Bibi Akafa!! Siku Iliyofuata Akaita Babu... Kesho Yake Babu Akafa!! Nyumba Nzima Ikajaa Hofu kubwa...
5 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanachitchat, nawatakieni heri na baraka za mwaka mpya! Maisha ya karne hii yametawaliwa na namba......kila kitu ni namba. Namba za simu, Namba za akaunti yako ya benki Namba za kadi ya...
0 Reactions
5 Replies
996 Views
[emoji666] Ivi kama jana ilikua 2016 [emoji666] Leo ni 2017 [emoji666] Ivi kesho si itakua 2018 [emoji666] Halafu keshokutwa itakua 2019 [emoji666] j5 itakua 2020... tutaenda kupiga kura tena...
0 Reactions
4 Replies
649 Views
Binadamu tunaishi kwa unafiki mkubwa sana, haina tofauti na demu aliyetongozwa na jamaa alafu demu akazingua, jamaa anapogeuka upande wa pili kutongoza rafiki za huyo demu; demu anaumia na kumind...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Umeamka asubuhi tu siku ya J3 kabla ya kwenda kazini amekuja jamaa anakuambia nimekuja kukulipa deni lako la mwaka ulopita anakupatia pesa,unaona yes siku imeanza poa,muda si mrefu anakuja Baba...
7 Reactions
28 Replies
6K Views
On behalf of me Niwatakie magreat thinkers wote heri ya mwaka mpya 2017
7 Reactions
143 Replies
7K Views
Sumbawanga nasikia Leo ni tarehe 3. Huko kwenu nyie endeleeni kuangaika na mwaka mpya wenu watu wanaitafuta February.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
0 Reactions
1 Replies
713 Views
_*Ni Tanzania pekee, unamwambia mtu jinsi umeteseka katika maisha na yeye hapo hapo anajibu*_ *"haujasteseka kuliko mimi"* Utafikiri kuteseka ni mashindano [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
7 Reactions
11 Replies
2K Views
Baada ya mchujo wa wagombea wengi hatimaye tumepata wagombea urais wawili watakaosimama kutetea nafasi ya urais jf Hivyo bhas tarehe ya kura itakua ni tarehe 31 december Na urais utadumu kwa...
13 Reactions
198 Replies
46K Views
Du.......! Yani ulikuwa ukituma pesa kijijini ili ujengewe nyumba na umekuwa ukituma pesa kwa miaka kumi mfululizo na ukipiga simu unaambiwa sahizi mafundi wana paua siku unaamua kwenda kuangalia...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
3 Reactions
116 Replies
7K Views
Huyu dada/mamdogo nilikuwa napenda sana kusoma ushauri wake hasa kwenye jukwaa hili la mmu. Ni miezi kadhaa imepita sijaona post/ushauri wake humu jukwaani. Jamani nimemmiss huyu mamdogo au Israel...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza ningependa niwape heri ya mwaka mpya wote tuliovuka mwaka salmin salama, binafsi malengo yangu mwaka huu ni kumiliki bilion 300,japo saa hii niko na 200 tu nayo ipo kwa m-pesa lakini kwa...
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Wakuu wa JF. Mimi binafsi kuna kitu kinatatiza kidogo nimejaribu kutafuta jibu nimekosa nakaona nije hapa kwa Great Thinkers.. Kwa nini Wachagga wengi meno ya rangi ya gold? Mwenye kujua...
1 Reactions
51 Replies
11K Views
Yaani kila mwezi lazima atumie laki 3 kwa ajili ya michango ya harusi. Nimemvumilia hadi nimemchoka. Ati ni hobby yake. Ukikuta mtu kaachwa ujue kuna mtu yamemfika hapa. Ngoja nitafute dogodogo wa...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mbu ni tatizo sana nchini kwetu. Lakini ukitaka mbu wote waishe mpaka tuanze kuwatafuta, waambie wanaume kwamba *mchuzi wake unaongeza nguvu za...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
JAMAA AMESHTUKA "USINGIZINI" HUKU AKIPIGA KELELE """MUNGU WANGU""" """MUNGU WANGU""". NIKAMUULIZA VIPI ULIKUA UNAKIMBIZWA NA SIMBA?? AKAJIBU...BORA INGE KUA HIVYO """NILIKUA NAOTA NAMPIGIA...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
POMBE BWANA... Mlevi mmoja aliwambia wenzake "Jamani mimi nina wasiwasi, Nahisi mimi ni Yesu!" Wakamwuliza "Kwa nini unajihisi hivyo?" Akajbu, "Kwa sababu, jana nilifika nyumbani, wife akasema...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom