JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Woouh...!! Dada kanifanyia "SUPRISE" kwa kuniletea bia BALIMI yenye ujazo 500 ml na 5.8 alc........nikiwa Dsm...... Hii ni bonge la ***a toka kule kanda ya ziwa.....bei 1500 ....kwa heri safari...
0 Reactions
29 Replies
8K Views
Ifanyekazi 2017 Happy New Year
0 Reactions
5 Replies
857 Views
MSHINDANI 1: (Kala ugali kwa picha ya samaki.) MSHINDANI 2: (Kala ugali kwa maji ya kunywa) MSHINDANI 3: (Kala ugali kwa harufu ya mboga ya mtaa wa pili.) MSHINDANI 4: (Kala ugali kwa kuvuta hisia...
3 Reactions
9 Replies
3K Views
Wakuu tucheke kidogo.. Hapa Joti kakuta vijana wanapiga Chuma sasa kaamua kujaribu.. Kilichomkuta [emoji16] [emoji16] [emoji16]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Amejiunga leo na username yake ni Prof. Dr. His Excellency, Hon. Alhaj Baba MwanaAsha! Mkaribisheni basi Lol
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Ili kukata kiu ya RAIA wengi waliokuwa wakihoji kwa nini mtukufu, mwenye heri Mkuu hawapigii simu kituo cha habari cha nchi hiyo hatimaye Leo Rais wa chama cha wasukuma mikokoteni bwana Pangu...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamaa wawili walikua wamekaa pamoja, mmoja akamwambia mwenzake: Leo nimeota niko UFARANSA,yule mwenzake akasema: na mi leo nimeota nimewaalika watu kwangu. yule jamaa wa kwanza akahamaki sana...
7 Reactions
15 Replies
3K Views
Kuna siku nilifulia ile mbayaaaa kipesa nikaamua kumuomba Demu wangu aniazime 10,000/= akanipa... Baada ya siku mbili / tatu nikapata zali la pesa zaidi ya laki 4 hivi , ( NILIBET ) Nikaamua...
9 Reactions
60 Replies
4K Views
Dah... Kutokana na mapenzi mazito uliyonayo kwenye pesa... nimeona hii zawadi itakufaa sana...uwe unafyatua tu... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
BINAFSI SIMO ILA NATARAJI KUWEMO ILA PIA SIO LAZIMA WEWE KUWEMO ########################### MOST MESSAGES MOST LIKES MOST POINTS HONGERENI WAKUU
12 Reactions
122 Replies
7K Views
Mwanariadha mwenye mbio zaidi ulimwenguni Husain Bolt inasadikika kuwa tayari kashafika mwaka 2017!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bolt Hatakagi Stress!!!!!!
2 Reactions
2 Replies
828 Views
Hello wapenzi Nimewamisooo sana Pokeeni busu murua kutoa kwa Cutiiie [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni sehemu ambayo ninayoweza kuiruhusu akili yangu kutulia na kupunguza stress. Huku story na mada zilizoshiba ndio nyumbani Kwao,yaani tamu isiyoisha hamu!! Comment za kufungua utambuzi na za...
1 Reactions
0 Replies
674 Views
Huenda zikawa ni bombadier za Taifa letu
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mnaosafiri na familia kwenye magari binafsi wakati huu wa sikukuu tafadhali muwe makini. Tayari tumeshashuhudia ajali kadhaa zilizogharimu uhai na hata kusababisha majeraha makubwa...
3 Reactions
6 Replies
840 Views
nimeingia jion hapa Iringa,nimepokelewa na Mvua na baridi kiasi!! ni sehem zipi ninapoweza kwenda ku pre-empty hizi stress wakuu?
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hii ishawahi kukukuta?
3 Reactions
60 Replies
8K Views
Kina dada bana hawaachagi mambo yao! Utamsikia anakwambia: "Baby naona aibu kuingia 2017, it's my first time". [emoji85][emoji85][emoji85][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Tujadili ivi mnafikiriaje ili swala la hawa wasioenda ata dakika moja wanachoka wengine na usingizi juu? Mi nashauri watengewe dunia ya peke yao? Sijui wenzangu...
1 Reactions
48 Replies
4K Views
Back
Top Bottom