_Ni Tanzania pekee, unamwambia mtu jinsi umeteseka katika maisha na yeye hapo hapo anajibu
_ "haujasteseka kuliko mimi" Utafikiri kuteseka ni mashindano.
Ni Tanzania Pekee...........
Endelea
Taasisi ya uhakiki wa mvua duniani(Taumdu) inapenda kutoa taarifa kwa yeyote anayetegemea rasimali ya maji yatokanayo mvua za misimu yote ya Mwaka 2016/2017,kuwa hakutakuwa na mvua hasa NCHI ya...
Wendawazimu watau waliamua kufungua shule chini ya mti. Wakaokota vitabu wakajifanya wanasoma. Kesho yake wakamkuta mmoja wao amepanda juu ya mti. Kumuuliza mbona uko juu? akawajibu niko high school.
Nimepita sehemu mtu kanunua mbege ila kabla hajaanza kunywa akamwambia muuzaji aonje kwanza(Ria), kwanini Mbege tu na sio Bia sijawai ona mhudumu kafungua bia na mteja kumwambia Onja.
Kwanini...
Salaam jf.
Kuna jamaa mmoja et! kaniambia kuwa nchi zote duniani nyimbo zao za taifa zina videos, sasa kasema kasoro TZ peke yake. Hii ni kweli au fix?
Wakuu tukiwa TUNAELEKEA Mwisho WA mwaka Mwenzenu Nina shida FULANI Nataka nitoke kwenye maisha yaani na maana niuage Umaskini 2017. Kwa kutazama naona msaada pekee niliobakisha ni members WENZANGU...
Najua sehemu pekee ambayo hakuna ufisadi wala woga ni peponi/Mbinguni, natamani sana kuiona siku hii ambayo hakuna mwana JF atakaeogopa kujianika yeye ni nani na alikuwa nani...
Wanabodi, nawakumbusha tena ile fursa adimu ya kujua kuhusu meditation ni leo saa 12:00 -2:00 pale Russian Cultural Center. Kiingilio ni bure!.
Karibuni sana njooni tumediteti!.
Pasco!.
Update...
Hila kiukweli leo nimegundua kuwa watanzania kwa sasa wamevurugwa, nilikuwa morogoro mjini leo nikizunguka kuna v2 nilikuwa natafuta. Yaani wa2 maisha ni magumu.
Kwa mfano nilifika sehemu...
Jamani, mimi sio mzee, ni kijana na damu yangu bado mbichi na inachemka... Kisa cha kuniwekea ka mkongojo kwenye profile yangu nini? Mnataka mabinti wanikimbie?
Jamani, embu nitoleeni hako ka...
Me kiukweli hata sikumbuki mara ya Mwisho kugombana na binadamu mwenzangu Kwa sababu yoyote Ile. Nashangaa Sana kukuta watu WAKIGOMBANA ngumi na mateke. Sielewi hii kutoelewana inachangiwa na...
Ni foleni yaani magari kila kona shamrashamra tu huku mgombani yaani ni jambo la kushukuru kwakweli.
Aika ruwa wakwa nimeiona krismas ndo hivyo tena nami siacha kuhesabiwa hata nauli ingefika...
Maswali ya psychology be like
Chagua jibu sahihi...zaidi.
Leo Ni ---?
(A). jumapili
(B). sikukuu
(C). Christmas
(D). Tar 25
[emoji124][emoji124][emoji124]cku feli makusudi
Chizi amefiwa na nduguye watu wote wakawa wanalia yeye ameinama tuu!
Jamaa wakamuliza wewe vipi humlili nduguyo?
Akajibu nalia ila nimeweka vibration...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.