JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Oyooo machaliii veepee, manyookaaa veeepee, marasta veepeee, mafly culture veepee, Mi nipo picnic hapa viwanja vya stress free zone, haya mavazi ya wahudumu mbona balaa, mizungu ya unga toka...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
[emoji1304]
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Ni kama watu wamekariri. Au wameiga na Sasa unaweza kuona kila thread haikosi comment ya namna hio 1.weka picha 2.subiri waje/wanakuja 3 .Basi sawa 4.hahahahah 5. Tafuta kazi ya kufanya...
3 Reactions
8 Replies
908 Views
1.uwe na gari kali 2.Uwe mtanashati 3.Ukoo wenu mzima muwe matajiri 4.Uwe mtundu kitandani 5.Uwe na nyumba kali si kijumba au nyumba ya kupanga 6.Unipe hela ya matumizi sio chini ya 20,000 kwa...
7 Reactions
201 Replies
22K Views
Habari wanajamvi! hivi mbona like zimekua adimu sana humu hata uone mtu kacoment point nzuri na yenye mashiko ila utaona coment yake inapitwa tu hapo na watapewa like wengine waliocoment upuuzi...
7 Reactions
8 Replies
903 Views
*Kwahesabu za harakaharaka asilimia 90 ya watanzania leo watakula kiporo*
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wanajamvi? Mie nimeona niwape ujumbe huu halafu nyie mjielewe na kama mnaakili mtatimiza wajibu maana:
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Leo nimepiga no 100, tigo huduma kwa wateja.. Akapokea dada mmoja hivi kwa madaha na pozi akanambia.. karibu tigo huduma kwa wateja, naitwa Rozi, naongea na nani uko wapi tafadhali...
6 Reactions
22 Replies
3K Views
Naanza mimi: Salaam za Krismas na Mwaka Mpya Mtukufu Rais!Mimi huwa napenda tu kukutazama jinsi unavyoonekana kukifurahia cheo chako cha Urais pengine kuliko Marais wote wane waliokutangulia na...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni kitu gani unakipenda kwa dhati kabisa kutoka moyoni yaani ni muhimu sana kwako kiasi kwamba unaona maisha hayajakamilika bila hicho kitu au unaweza kusema huwezi kuishi bila hicho kitu. Taja...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Mambo vipi wadau, Tukiwa katika msimu wa sikukuu ya xmas na mwaka mpya....popote ulipo bdani ya Kilimanjaro.....ikiwa umetoka maeneo mbalimbali ya nchi na nje ya nchi kwa ajili ya kuungana na...
14 Reactions
235 Replies
21K Views
Leo tarehe 25 Dec tunasherekea kuzaliwa kwa Yesu Christo mwana wa Daud, ambapo ni kumbukumbu ya miaka 2000 iliyopita tangia Azaliwe katika Bethlehem ya Uyahudi Zamani za Mfalme Herode na bikira...
0 Reactions
4 Replies
794 Views
Kesho ni kumbukumbu ya kuzaliwa kwangu. Naamini nitakuwa nimeongezeka busara na hekima badala ya namba za umri na kukomaa kwa ngozi tu. Sijajua nitamalizaje siku yangu ya kesho lakini lazima...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
Kwa niaba ya Bill Gates, Aliko Dangote, Abramovich, Mark Zukerbeg, Pamoja nami na mabilionea wengine Nawatakia kheri ya Christmas na mwaka mpya wenye mafanikio.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkianza kutuma picha za pilau na kuku naomba mtume tena picha za mifupa ya kuku mkimaliza kula[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Unaangalia muvi ya Yesu waliyoigiza Wabongo Maria: Yosef nina Mimba Yosef: Yesu wangu! mimba ya nani? Unabaki unajiuliza Yesu ni yupi sasa?
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Kiukweli nimelimiss sana ile tangazo la mkuu wa kaya "Kwa Unyenyekevu mkubwa nawaomba Kura watanzania wote nawaahidi sitawaangusha Nitawatumikia kwa unyenyekevu mkubwa,asanteni"hasa lilisikika...
0 Reactions
3 Replies
741 Views
1.Kama umezoea kuombaomba pesa bila kufanya kazi ukitegemea uzuri wako. 2.Kama umezoea kulialia eti kazi hakuna,wakati unalipa kodi kila siku. 3.Kama hiyo degree yako uliyochukua pale mlimani au...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom