"Watu waongo kweli sijawahi ona...!!!"
Eti:- Milima haikutani lakini binadamu wanakutana,
Hivi wewe kwa akili yako unaweza kukutana na RIHANNA au RAMBO au MESSI ama JET LEE ? Huyo KITALE...
Kwa wale ambao hamjaoa kuweni makini unaweza oa MTU anadaiwa na Bodi ya mikopo ya elimu ya juu Milion30 utazilipa mpaka ukome.
Utaratibu mzuri nenda bodi ujilizishe anadaiwa ngapi shilling...
Chrismass ndio hiyooooo imefika. Ni KONA PUB pekee mahali ambapo ni TILIVU kwa Ndugu na Rafiki KUKUTANA na KUUNGANISHA Mawazo huru ya MAISHA.
Ipo pembeni ya barabara ya Morogoro jijini DSM...
X-mas hii nitakuwa mwenyewe natoa offer kwa binti mrembo ambae nae siku hii atakuwa mwenyewe na anahitaji company.
Offer hii ni kwa jumamosi,jumapili na itahusu chakula,vinywaji na malazi katika...
Duu hali mbaya sana mwaka mpya tunatokaje Mimi nimeona kwanza nipate mboga [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] uwezi jua 2017 itakwaje
[emoji116][emoji116][emoji116]
*UJUMBE MZITO WA PAPA FRANCIS*
*Hakuna familia isiyo na mapungufu. Hatuna wazazi wasio na mapungufu, sisi pia si wakamilifu, hatuoi au kuolewa na mtu asiye na...
Boy:- hello
Dem:- hello
Boy:- ivi jina lako nani vile
Dem:- am miss precious
A. K. A dope girl
Boy:-Okay, nmekutumia 50,000 nimeona Jina tofauti ngoja nipige customer care
Dem:-no no baby usipige...
UONGO MWINGINNE HATA HUFAI!
jamaa:unasoma?
demu:sisomi,vipi wewe unasoma?
jamaa:ndio nipo kidato cha nne roleto.
demu:jamani hiyo si ni shule ya wasichana?
jamaa:aaah nimechanganya nipo...
Akinitumia short words text nami najibu kwa namna hiyo hiyo.
Akituma romantic text nami nitamtumia romantic...
Akinitumia emoji kwny whatsapp nami najibu kwa emoji.....
Mbwa kala mbwa....
Jamani...
Mganga kutoka Sumbawanga ana uwezo wa kubadilisha mwalimu aliye soma masomo ya art kuwa mwalimu wa masomo ya sayansi ila gharama ni kubwa kidogo[emoji86] [emoji86] [emoji86]
OFA! OFA! OFA!
Mlete mpenzi wako kwangu
msimu huu wa SIKUKUU na ujipatie mtoto wa BURE
kabisa.
Watu 10 wa kwanza watajipatia mapacha.
WAHI SASA mbegu ni chache!![emoji23]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.