MBUNGE "SUGU" AWAJIBIKE KISIASA
Mwaka 1977 Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Peter Said Sioverwa (kwa sasa ni Marehemu) aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais...
Misingi mingine ya ndoa zetu ni migumu sana.
Pata simulizi hii toka Marekani.
PhupySmith na mkewe hawajawahi kuwa na mzozo ndani ya miaka 25 ya ndoa yao. Jambo hili likamfanya jirani yao mmoja...
nadhani mmesikia kisa cha huyu faru ambaye alikuwa na tabia ya kumiliki mademu (majike) wengi huko mbugani..tabia yake ya kupenda majike kupita kiasi ilimfanya awe mbabe na kuwanyang'anya mademu...
Kama wewe uko Inlove na mtu, huyu mtu asubuhi
hakutafuti yuko bize, ila ikifika usiku, tena usiku wa
manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na
maswali ya kipuuzi, eti 'umelala'? Sasa unadhani sa6...
```GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja.```
SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998.. napenda sana kusoma news za zamani.
Msione hivi mwenzenu kila siku silali namuwaza huyu bibie mrembo na kipenzi cha moyo wangu FAIZA FOX Y.
Tatzo mm ni domo zege na ninahofia sijui niingie na gia gani ya kumtongoza bibie maana sio...
Wakuu wa jukwaa amani iwe nanyi.
Karibuni tushirikishane matukio ya ajabu tuliyowahi kushuhudia[siyo ambayo uliyotenda].
Binafsi nitasimulia kwa ufupi matukio ya ajabu niliyowahi kuyashuhudia...
jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida
sasa jamani mwana jf yeyote ambaye...
EMEKA: Bro. I have 32 bit Windows 7. This Game
needs 64 bit to play. How can I get it? Will it work
if I install Windows 7 twice?
APARO: Yes. Install it twice... You'll also get
Windows 14
EMEKA...
[emoji837]BOSS anamwambia sekretari wake:
Wiki hii tutaenda wote Serena Hotel kwenye mkutano fanya mipango yote.
SEKRETARI (anamuaga mumewe):
Tunaenda na bosi Serena hotel kwenye mkutano for 1...
ingekuwa ni katika mapenzi tunaishiwa kifurushi ingekuwa tabu kweli... embu fikiria wakati bao linakaribia kutoka unapata message "samahan mteja kifurushi chako cha mb...
kimeisha" alafu mb...
Hivi, Tangu mwaka 1962 wimbo wa Taifa unaimbwa lakini Video yake haijatoka Kwanini?
Inamaana pesa za Serikali zinaenda wapi? Hilo Nalo Ni JIPU!!! Naomba 'MAGUFULI'...
Kila siku maisha magumu maisha magumu igeni mfano huu jamaa mmoja baada ya kaona maisha magumu kaamua kuachana na maisha na kufanya mambo mengine ya kijamii tofauti na maisha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.