Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka...
Jamaa alipanda ndege kwenda Dubai,badala ya kukaa economy class kama tiketi yake isemavyo akakaa first class, mhudumu kamwambia arudi economy hataki ,kila akiambiwa na staff wengineo bado hataki...
Kama mfatiliaji wa movie kali na za kusimumua hebu mtaje actor/actress mmoja aliyebeba uhasilia katika movie
sio mbaya ukitaja na jina la movie
Solomon - Blood Diamond
Dear jje's ,
Mungu Akupe maisha marefu na yenye kheri na mafanikio Duniani,
Uwe na miaka mingi ya Furaha zaidi ya uliyotimiza leo,
Dedication: NI KWA NEEMA TU.
Kama Hujaitwa Baby mwaka huu, tengeneza Folder kwenye Laptop yako uipe Jina Baby,then jaribu kui delete. Itakuuliza "Do you want to delete this folder Baby??????
*Wanafunzi walipanda kwenye ndege ,muda mfupi kabla ya kuruka wakatangaziwa kuwa ndege hii ni ya kwanza kutengenezwa na mainjinia wa Tanzania na hii ndio safari yake ya kwanza, wanafunzi wote...
Jamani huyu member nimemmiss,kapotelea wapi jamani ,alikua anachangamsha jukwaa ,nna siku simuoni aisee hebu mtafuteni akuje au ndio kabadili id ,,money stunna njoo uone yanayojiri huku
Natumaini...
Mabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam.
Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu.
Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba...
Nilikuaga na mupenzi akanizingua,na leo nataka Madame B nimuenzi,isije siku,miezi nae akanisumbua,
naogopa sana vichanga kama Nasema wasije wakanitenda nikazama na huku nina mapenzi ya ukweli...
Wakati mnashutumiwa kwa kutumia majina fake ebu kila mmoja ajielezee yeye mwenyewe kwa neno moja tu hii itasaidia kujuana kwa undani zaidi kwa vile hatuonani.
Me naanza - "unique"
Salaam wana JF
Katika maeneo ya kazi hasa hasa taasisi binafsi huwa zatolewa kauli sijui niziite CHAFU ambazo si tu kuwa hukera, huumiza hasa KISAIKOLOJIA bali pia kukatisha tamaa na kuhafifisha...
kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na...
*Kama una kalenda ya 1995 au 2007, usinunue ya 2017 kwa sababu zinafanana.. Ila badilisha mwaka kwa maker pen*
*Ni mwendo wa kubana matumizi kutii sera ya serikali ya awamu ya 5.*
*_Hapa Kazi...
MZARAMO V/S MCHAGA.
Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine.
MCHAGA akaona hii fursa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.