Baadhi ya Wazazi huwa wanaandika Mageti ya nyumba yao. HAPA KUNA MBWA MKALI pindi binti yao anapofikisha Miaka 18. Lakini anapofikisha Miaka 30 bila kuolewa wanaandika Getini. TUNAUZA ICE CREAM...
Kimbwanga; sehemu ya 1
Mtunzi: (Hyungnim)
Alifahamika kwa jina la Anko Mavi!jina hilo la mzaha alilipata kutokana na kazi yake ya kuchimba vyoo,kuvizibua vyoo vilivyojaa lakini pia kuyabeba...
Habar zenu wakuu,..
Nikiwa nimechill mitaa flan hiv ya dom town (dodoma) , nahis nko lonely coz mi n mgeni pande hizi So I need friends tubadilishane mawazo..
Jinsia yoyote , njoo pm tuexchange...
1.Asiye funzwa na mamake ufunzwa na sugarmamy
2.Mchagua jembe ajajua umuhimu wa tractor
3.mpende akupendae asiye kupenda mhonge
4.Ukisitaajabu ya musa hujayaona ya mchina
5.Masikin akipata...
Cheka ukalale.
Mtanzania, Mnyarwanda, na Mkenya
walikamatwa
na madawa ya kulevya China.
Wakaambiwa
adhabu ni mbili kifo au adhabu
nyingine ambayo
wakiishindwa pia
wanauawa.Wakaomba wapewe
hiyo...
Habari wakuu
Poleni na majukumu ya kazi, naandika uzi huu kwa kua ni siku yangu muhimu sana napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunipa uzima na afya njema mpaka leo.
Kwa wazazi wangu wapendwa...
Kila nikienda kwenye harusi wazee wananambia "Bado wewe tu"
Na mimi nimeanza kuwaambia hivyo hivyo tukikutatana kwenye
Mazishi
Sitaki ujinga :rolleyes::rolleyes::rolleyes:
Hakuna ubishi kwamba hali ya maisha
Bongo imekuwa ngumu na ukakasi mara
BabaJesca alivyoanza kutoa mbinyo kila
kona,watu wanalia kimyakimyaa. wengine wametelekeza wake/michepuko kutokana na hali...
Wakuu ngoja nifunguke leo kimalavidavi,
Kuna msanii wa Uganda kwa jina Juliana Kanyomozi, kusema kweli nampenda sana huyu dada. Laiti ningekuwa na uwezo na nafasi stahili, ningemuomba nimuoe...
Wewe bwana lufunyo umejaaliwa kujenga nyumba mzuri hapa mjini, unaishi na mkeo pamoja na watoto wako wawili Janet na john ,
sasa hapo nyumbani kwenu kwa sababu ni nyumba mpya haina hata miezi...
Upo club unadance peke yako mdogomdogo..
Mara gafla kademu kanakusogelea kanakuangalia kanatabasam.... Unaanza kushukuru Mungu umepata wa kucheza nae....mnacheza kama dk.30 then kanakunong'oneza...
A Jamaican Man was making love to his
woman for the first time in his lifr. He then
suddenly screamed and ran out of the
room.. then came back with a glass of water,
and poured it in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.