[emoji654][emoji654]Pale imebaki siku moja uhame kwenye nyumba ya kupanga halafu unakuta umebakiza unit 60 za umeme,
[emoji117] inabidi tu uchemshe maji hadi yale ya kuflashia choo.
Leo wife si kaniamsha kibabe.
Eti "wee kunguru ebu amka huko unapenda kulala lala kama mwanamke ebu nenda katafute"?[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] .
Basi mimi...
Mambo Kumi Ninayojifunza January ya Mwaka huu....
1. Kumbe waweza shinda njaa bila kufa.
2.Kumbe waweza beba chakula na kwenda nacho kazini.
3. Bila boda, Bila bajaj unaweza tembea na kufika...
Haka kawimbo ka Alikiba ka aje kametokea kuwa ni kawimbo kanakochukiwa zaidi na jamaa wa chelsea especially inapofika ile sehemu anayosema Aliii ni kipenzi cha watuu
Habari za siku nyingi ndugu zangu.,
Nilikua na swali kidogo kuhusu hii ishu ya kuogeshewa na mfedha fedha...
Nimekua nikiskia sana kuhusu hii ishu lakini sijaelewa haswa;
[emoji654] maana yake...
Leo kitendo cha kuwafollow celebrities mbali mbali nimeshangaa nimepata friend requests zisizopungua 500 na mpaka sasa naendelea kupokea friends requests
Jamani wajuzi wa haya mambo ebu njoeni...
Baba mwenye nyumba calling[emoji390]
Baba mwenye nyumba calling[emoji390]
Baba mwenye nyumba calling[emoji390]
New number calling[emoji390]
New number calling[emoji390]
Private number...
Hakuna nyama tamu kama kitmoto nimejionea hapa dunian.
Nawasilisha.
Ikaushwe hisiwe losti kachumbali yenye pilpil Kali pemben Pepsi ya baridiiii plus kaugali kalaini.
Jaman jaman hapa dunian...
Kuna jamaa alipewa shilingi 3987698237982...acha uvivu, najua hujasoma ni kiasi gani hicho cha fedha na mbaya zaidi hujagundua kwamba katikati ya namba hizo kuna herufi T...safi sana, najua...
Jamaa alikua ana tabia akifanya mapenzi na Mke wake raha ikimkolea anapiga makelele mpaka majirani wasikia.
Siku moja jirani yake *Mzee Hamisi* akamwambia hivyo unavyo fanya ni makosa na ni aibu...
kwani Mshana wangu mmempeleka wapi jamani....ndo mana i felt like something is missing...kumbe Mshana mwenye jr yake simuoni...
Mshana popote ulipo come back please...imy...nimemiss mwandiko wako...
Katika zoezi la kupiga picha za vitambulisho vya shule, mpiga picha alimwambia mwalimu mkuu kwamba picha moja ni 500 kwa kila mwanafunzi.
Mwalimu Mkuu akawaambia walimu wa darasa kuwa wawaambie...
1. Kuunga Foleni kwenye Vibanda Mihogo na watoto wa shulen.
2. Kupitia Kwnye Vibanda vya Chips Usiku Kupata Chips Mayai Kabla ya kufika Nyumbani .
3.Kubishana Matokeo Ya Mpira na Watoto chini ya...
Tujikumbushe methali ambazo zimekuwa funzo hadi leo katika maisha ya kila siku!
ndururu si chururu!
Muonja asali huchonga mzinga!
Ukipata chungu kipya ustupe cha...
Walionilea nilipokuwa Shirika la Kifransiskani la Ndugu Wadogo wa Afrika-Morogoro, hasa kule Nyumba ndogo ya Kiroka (July 1998-April 1999) ni Ndugu Fidelis (wa kwanza kushoto), Ndugu Daudi (wa...
Kuna watu huwa wanakera sana anakukuta umejikalia zako kimya tu mnasalimiana halaf anaanza kukupa story za huko alikotoka au tu masomo anayosoma ataanza kukuhadithia hadi formula za hesabu jamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.