JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Ile movie ya KUISOMA NAMBA Leo part 2 yake ndo imeanza... Tuendelee Tu kuitazama nasikia inapaka part five(5)[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ni movie ya KIINDI Star akiwa ni MAGU KHAN...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda Konda- bibi twende sit kibao ata utalala Bibi - oooh sawa mjukuu Konda - simama tu apo...
2 Reactions
0 Replies
1K Views
*Unasoma chuo unapata demu/boyfriend afu unamuita "my everything", ivi Unajua ni nani anakulipia Ada mbuzi wewe?[emoji23][emoji23][emoji23]*
1 Reactions
2 Replies
1K Views
tulikua kwenye gari kibao ad wengne mlangon likasmimama kituo kimoja kulikua kuna bibi anataka kupanda Konda- bibi twende sit kibao ata utalala Bibi - oooh sawa mjukuu Konda - simama tu apo...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF wenzangu, leo ni siku muhimu sana kwa wote tuliojaliwa kuiona. Na jambo la heri kwa ndugu jamaa na marafiki kukaribishana na kusheherekea pamoja. JF members ni watu wa familia moja. Je...
0 Reactions
0 Replies
517 Views
On behalf of myself and the users of this forum, i wish you all merry christmass and happy new year..!!
9 Reactions
67 Replies
4K Views
Happy new year to you MMU fans… 2017 to the year of prosperities
0 Reactions
0 Replies
579 Views
Thanks Lord..........nmeona na nimefika 2017. Ni mwendo wa kutimiza malengoooooooooo tuu Huu mwaka lazima nami nipate,i swear. Eh Mungu kaa upande wangu. by me 01 Jan 2017.
0 Reactions
5 Replies
697 Views
*A teacher was teaching words and their opposite then he told Mutabazi to stand up and give answers !* Teacher: What is the opposite of good Mutabazi : Bad Teacher: Come Mutabazi : Go...
9 Reactions
20 Replies
5K Views
Niwaalike wana MMU wooooote kumtakia heri ya kuzaliwa binti/mama dinazarde. Mimi nasindikiza wishes zangu na beti hii moja ya shairi kama ifuatavyo. Leo unaikumbuka, sikuyo ya kuzaliwa, Ni siku...
5 Reactions
146 Replies
6K Views
Wazazi wakianza huu utaratibu uliopo kwa mashemeji, Taifa letu litainuka Sana Tu!.
1 Reactions
1 Replies
801 Views
Breaking News! Mwanariadha mwenye mbio zaidi ulimwenguni Husain Bolt inasadikika kuwa tayari kashafika mwaka 2017!!! Bolt Hatakagi Stress!!!!!!
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtu aliepoteza pochi hii tafadhali ntafute, sitaki usherekee sikukuu hii vibaya,nami nimeona si vema niingie mwaka mpya na dhambi
0 Reactions
9 Replies
2K Views
uliza chochote kuhusu kabila hili mila desturi na mengne. mimi na wazaramo wezangu tutawajibu.
1 Reactions
53 Replies
14K Views
Bwana Yesu kristo asifiwe Sana wapendwa katika Bwana. Ninafuraha kubwa kumshukuru Mungu kwa yote natumaini Mungu mwema ametufikisha leo Trh. 31 tukiwa na pumzi. Wapo wengi tulianza nao lakini...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
wanawake wameniumiza sana tokea shule ya msingi.. sit0sahau siku mwanamke wangu alip0niacha na kwenda kwa jamaa mwenye KICH0NGEO KIPYA niliumia sana . . #g0odluck_mchika
2 Reactions
9 Replies
2K Views
[emoji12] [emoji12] [emoji12] Aidha cameraman ana upako sana au wote wana mapepo isipokuwa yeye.
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Duh
Hv unapokuja na mdada for a date kwann uagize maji? Anyway sielewi.. Nimetoka kazini nikakaa mahali alon nishtue koo kidogo akaingia mkaka na mdada wanaonekana wapenzi..dada ameagiza chupa ya...
1 Reactions
4 Replies
621 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…