JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa alipanda ndege kwenda Dubai,badala ya kukaa economy class kama tiketi yake isemavyo akakaa first class, mhudumu kamwambia arudi economy hataki ,kila akiambiwa na staff wengineo bado hataki...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
December this year has 5 mondays, 5 saturdays, 5 sundays and this will happen again 2018
0 Reactions
2 Replies
509 Views
*Nilipanda tax leo.dereva tax akaanza kuongea...naipenda sana kazi yangu nimejiajiri hakuna wa kunipangia nn cha kufanya* _....nikamwambia_ *..KATA...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwaka ule JF chitchat ilikuwa ukirusha tu post, raia haooooooooo. Hadi Invisible alikuwa anaingiaa.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Kama mfatiliaji wa movie kali na za kusimumua hebu mtaje actor/actress mmoja aliyebeba uhasilia katika movie sio mbaya ukitaja na jina la movie Solomon - Blood Diamond
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Dear jje's , Mungu Akupe maisha marefu na yenye kheri na mafanikio Duniani, Uwe na miaka mingi ya Furaha zaidi ya uliyotimiza leo, Dedication: NI KWA NEEMA TU.
2 Reactions
34 Replies
2K Views
[emoji121] [emoji121] WAKUU, HUYU DADA KAENDA KUNILALAMIKIA KWA MJUMBE KUWA NIMEMVUNJIA HESHIMA. HIVI HAPO KOSA LANGU NI LIPI WAKUU??
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Kama Hujaitwa Baby mwaka huu, tengeneza Folder kwenye Laptop yako uipe Jina Baby,then jaribu kui delete. Itakuuliza "Do you want to delete this folder Baby??????
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Kikawaida kuna matukio huwa yanatokea mara kwa mara je ni tukio gani halijatokea muda mrefu (liwe baya au zuri tuambie tu!)
0 Reactions
26 Replies
2K Views
*Wanafunzi walipanda kwenye ndege ,muda mfupi kabla ya kuruka wakatangaziwa kuwa ndege hii ni ya kwanza kutengenezwa na mainjinia wa Tanzania na hii ndio safari yake ya kwanza, wanafunzi wote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwafrika Akiendesha baiskel anasafiri, mzungu akiendesha baiskeli anafanya zoezi
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Jamani huyu member nimemmiss,kapotelea wapi jamani ,alikua anachangamsha jukwaa ,nna siku simuoni aisee hebu mtafuteni akuje au ndio kabadili id ,,money stunna njoo uone yanayojiri huku Natumaini...
4 Reactions
67 Replies
4K Views
Mabibi na Mabwana wa jukwaa Salaam. Umekuwepo uhitaji wa kuwa na ID ya pili kutokana na sababu zilizopo nje ya uwezo wangu. Tatizo napata shida ya kubuni username bandia, nimekuja kwenu kuomba...
0 Reactions
147 Replies
6K Views
Nilikuaga na mupenzi akanizingua,na leo nataka Madame B nimuenzi,isije siku,miezi nae akanisumbua, naogopa sana vichanga kama Nasema wasije wakanitenda nikazama na huku nina mapenzi ya ukweli...
3 Reactions
150 Replies
7K Views
Wakati mnashutumiwa kwa kutumia majina fake ebu kila mmoja ajielezee yeye mwenyewe kwa neno moja tu hii itasaidia kujuana kwa undani zaidi kwa vile hatuonani. Me naanza - "unique"
0 Reactions
42 Replies
3K Views
Salaam wana JF Katika maeneo ya kazi hasa hasa taasisi binafsi huwa zatolewa kauli sijui niziite CHAFU ambazo si tu kuwa hukera, huumiza hasa KISAIKOLOJIA bali pia kukatisha tamaa na kuhafifisha...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
kila napowaza kuacha kunywa bia.....nafikiria wakulima wa ngano na vibarua wao pamoja na familia zao....pia nawawazia sana wafanyakazi wa TBL na familia zao, madereva wa malori ya bia pamoja na...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
*Kama una kalenda ya 1995 au 2007, usinunue ya 2017 kwa sababu zinafanana.. Ila badilisha mwaka kwa maker pen* *Ni mwendo wa kubana matumizi kutii sera ya serikali ya awamu ya 5.* *_Hapa Kazi...
1 Reactions
1 Replies
711 Views
MZARAMO V/S MCHAGA. Mzaramo alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100,000/= Na kama akishindwa kukutibu anakurudishia laki yako nakukuongeza laki nyingine. MCHAGA akaona hii fursa...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…