JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
GOOGLE naona sasa mmeanza mazoea ya kijinga...:rolleyes::rolleyes: ndio nini sasa hii
1 Reactions
1 Replies
882 Views
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea. Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia. Wakati huo nilikuwa nipo kwenye simu yangu nachati na...
8 Reactions
19 Replies
5K Views
Jamaa alipanda ndege kwenda Dubai, economy class ndio ilikua ticket yake. Akaenda kuketi 1st class. Mhudumu akamsihi jamaa mbishi, pilot msaidizi nae jamaa kagoma kuhama. Pilot mkuu akaja...
5 Reactions
5 Replies
1K Views
To you Dearest Heaven Sent, Seems like I have fallen in love with you…you are just the best! Now all I want to say is that I can't live without you and don't even want to. You are the best thing...
14 Reactions
228 Replies
13K Views
Mwambieni yemi alade kuwa john ameonekana akiwa ameuwawa kikatili katika hifadhi ya Serengeti
0 Reactions
1 Replies
675 Views
Habari zenu wakuu, navutiwa sana kimapenzi na vanessa mdee, mwenye namba yake au anaeweza kunikutanisha nae walau nmwambie kilicho moyoni mwangu anambie tafadhali, ni zaidi ya miezi sita sasa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
:( Kama kupata ni MAJAALIWA' Basi kukosa ni MAGUFULI" :D
4 Reactions
4 Replies
2K Views
kutoka kituo cha habari cha taifa TBC; habari ya kitaifa :mgombea wa urais kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi CCM mhe.Majambili Mafuru akili kushindwa na mgombea mwenza wa CHAUMA mhe.Bahati...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wadau naomba mtembelee blog ya bukobawadau.blogspot.com na kumshauri mwendeshaji wa blog hiyo maana kwa jinsi ilivyoanza wadau tulidhani ni kwa ajili ya maendeleo ya watanzania kwa ujumla. Hadi...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Hivi kati matarumbeta na kigoma cha urugwai kipi kina pendwa zaidi mitaani?
0 Reactions
2 Replies
923 Views
kuweka bold (b)mende (/b) ayaaaaaaaa nimekosea ngoja nijaribu tena MENDE oyooooo nimewezaaaa kuweka link,,,wanafayaje vileeee....mmmmmh .ngoja mmmmh mbona haiji..... nimekosea...
0 Reactions
2 Replies
660 Views
*jamani duniani kuna watu wa ajabu sana yani huwezi amini jana nmekaa na mtu mmoja kanisani anavuta sigara bila hata woga nilitetemeka nusura niangushe bia yangu*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimeongozana na dadangu badala ya kusubiri nikutambulishe unajitia uchizi na kumuita shemeji....shika adabu yako! Ni kweli dadangu kajaaliwa kunyerokunyero (a.k.a chura) lkn isiwe sababu ya...
1 Reactions
6 Replies
821 Views
Hivi ni Kweli kuwa wanaume tunarembaga sana '' wakati wa maandalizi'' hadi inaboa? Maana wanasemaga too much of anything is harmful
3 Reactions
0 Replies
1K Views
mtoto wa geti kali akijikwaa utasikia : oh my god . oh jesus christ . . mtoto wa uswazi akijikwaa utasikia : kumamae msenge gani kanitaja . BY GOODLUCK MCHIKA
7 Reactions
29 Replies
10K Views
*Kuna sehemu nikipita huwa nanunua sambusa za kula kama tano hivi[emoji4][emoji4], sasa j'pili tulipokuwa kanisani mchungaji akasema watu tutubu dhambi zetu [emoji120]. Yule mzee muuza sambas...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"HAPPY NEW YEAR 2012" duh,huu mwaka umeanza vizurieee,mh japo ckumbuki leo ni tarehe ngapi!Jamani tusherehekee wote mwaka mpyaaaaa....
0 Reactions
19 Replies
3K Views
NAKUMBUKA ZAMANI SANA ETI NA MIE NILIKUWAGA NAIGIZA UTANGAZAJI KAMA HIVI; IFUATAYO NI TAARIFA YA HABARI MSOMAJI WENU NI MIMI MPWATWA MAJANGA LAKINI KWANZA NI MUHTASARI WAKE; 1.Serikali yawapeleka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom