Habari wanajukwaa,
Tukutane hapa wale wote tunaopatikana Mikoa inayozunguka Ziwa Victoria ikiwemo mikoa hii :-
1:- Mara
2:- Mwanza
3:- Kagera
4:- Shinyanga
5:- Geita
6:- Simiyu
Ongeza...
DARASA, OMMY, ALI K NA DIAMOND
Kajiandae team "diamond hufanyi muziki ila ni ujanja ujanja tuu"
DARASA "Acha maneno weka muziki imba unachopenda ukitaka kucheza cheza muziki"
KIBA (Akitaman...
MADHARA YA KUNYWA MAJI KABLA YA KULALA
Aisee wadau jana kuna tukio la kusikitisha limenitokea.
Nilikuwa nimesimama maeneo ya Mwenge karibu na maduka nikaona mama mtu mzima analia.
Wakati huo...
Nashukuru Mungu Kwa rehema zake. Nipo wilaya moja ya Mkoa wa Simiyu Juzi nilisikia wanakijiji wanasema kuna Fisi hapa kijijini amekuja na tayari ameshakula mtoto alikuwa anaenda shule na kuumua...
*We Mdada unaeringa na iyo FIGURE (shape) yako...umesaau kuwa MATHEMATICS ilikua na Figure kibao ila shuleni bado Tuliikimbia?*[emoji276][emoji276][emoji276]
Habari zenu wakuu. Mimi ni binti wa miaka 25 ni mtoto wa mwisho katika familia ya watoto watano. Nina dada yangu ambaye ni wa tatu kuzaliwa, ndugu huyu ananifanya niishi kwa wasi wasi na huzuni...
Tupa shida chini nyosha mikono juu, nafikiri ni muda muafaka kutafakari maisha kwa kupata kinywaji chako pendwa na kujumuika na ndugu jamaa na marafiki. Mwisho wa mbio za kwanza ndiyo mwanzo wa...
Nimetoka kifungoni ila aliyenisababishia ban nitadili naye mpaka kuzimu[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji84] [emoji84] nimeumbiwa visasi sijui kitu msamaha
Mfugaji mmoja alikwenda kwa mfugaji mwenzake (ambae pia ni bwana mifugo wa eneo lao) asubuhi moja. Alipobisha hodi mtoto wa kiume wa umri upatao miaka 12 akamfungulia mlango. Mazungumzo yafuatayo...
Unashangaa wenzako wanabarikiwa wewe unabaki unajiuliza kwa nini? Kumbe kila siku Mungu anakuja kukubariki anakuta unaimba ule wimbo wa Ali Kiba "MALI NI NYINGI NYUMBANI.........," Anaamua kurudi...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Teacher:I will ask a question and whoever gets it right I'll give my iPhone 6S,.....How many men did Jesus feed?
Felix:5000 men,
Teacher:Good,take the phone and ask me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.