Amani na upendo kwa wote.
kuna kipindi nilikuwa nachukia sana siasa baada ya kuona migongano,mifarakano,viini macho na mambo kemkem yasiyoeleweka huku mengine yakiwa hayana kichwa wala miguu...
Habari zenu,,
Ilikuwa majira ya saa nane mchana, nilikuwa nipo kwenye treni ya umeme nikitokea mbagala ambayo ilikuwa mithili ya jiji la washington d.c nikielekea zangu k. koo ambayo ilkuwa...
Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya
Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB...
*Msichana unamtembelea Mwanaume wako na Mkoba mkubwa umejaa vitu mbali mbali isipokuwa nauli. Kwann lakini??.........[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tumechoka*
Wana JF, habari,
Mwaka ndio umekwisha hivyo,
Tunakutana wapi Kusheherekea na kutathimini?
Pendekezeni na Kamati pia.
MODS chukueni mawazo
UPDATES;
1. Mbaamwezi Beach Hotel
2. South Beach Hotel
ASALAAM ALAYKUM MARAFIKI ZANGUNI TODAY IS MY HAPPY BIRTHDAY SIKU YANGU YA KUZALIWA NINAWAKARIBISHA KWANGU MULIOKO KARIBU NA MIMI. NA MULIO MBALI NA MIMI MUNIOMBEE DUA NINAWAPENDENI NYOTE ASANTENI...
Kwa muda mrefu sasa yapata mwaka mmoja nimefanya utafiti na nimejiridhisha baada ya kupata matokeo yaleyale kila ninaporudia kufanya utafiti wangu. Hii ndiyo list ya top ten yangu ya vitu...
Uzi special wa kufunga mwaka kushare kazi za ma photographers Kwa mwaka mzima
Uzi special wa kufunga mwaka kushare kazi za ma photographers Kwa mwaka mzima
Changia chochote na kuonyesha picha...
Hii tabia jamani sijui imetoka wapi, nimekuwa nikijiuliza ni yetu au tumeletewa na wazungu?
Yaani kwenye mziki iwe wa mduara au wa Taharab ni lazima ukute wanaume hawakauki kufwata nyuma nyuma...
Nakumbuka kipindi naendaga kuogelea na wenzangu nikishavua nguo naingia dimbwini na wenzangu sasa tunajifanya tunazama kumbe mle mle namshika mwenzangu namfanya dyu dyu[emoji85] wakati huo huo...
Pale unapomlipia mwanao karo ya shule ya mwaka kwa M-PESA ya Tsh 15,000,000 na kuletewa majibu haya
Ahsante kwa kujiunga na kifurushi cha voda-voda umepata dakika 350,000 /sms 750,000 na GB...
Wavuta bangi watatu wamevunja duka la dhahabu ili waibe,
Mmoja kachukua dhahabu, wa pili kachukua pesa , wa tatu kakaa dukani,
Mwenye duka kaja na polisi kufungua mlango wakamkuta jamaa kakaa mguu...
Pale unapolipia kodi ya nyumba kwa M-Pesa Tsh. 1,800,000/=.Kisha ukiwa umejipumzisha baada ya kumaliza kutuma hela kwa 'fazahausi', unapokea meseji ya uthibitisho:
Usiulize uchizi unaanzaje...
JAJI: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA:Lakini ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
JAJI:Hicho ni kithibiti tosha kabisa.
MTUHUMIWA:Basi nihukumiwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.