JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*Hivi tunaolalamika pesa hakuna ni kweli tulikuwaga nazo au wengine tunafata mkumbo tu?* Tusichoshane jamani #Pigeni Kazi *"Mtaji Pumzi"*
0 Reactions
3 Replies
536 Views
Leo nmeamua kuja kusali hapa ubungo chai bora kwa askofu asiye teteleka na kelele za wamasiasa nataka nimuone live stay tuned ntawapasha yatakayo jili saivi nmwendo wa kwaya nmemwona na Mshana jr
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba mshee experience yenu mliowahi kupigwa shoti na umeme na mlijisikiaje? Mimi nakumbuka siku hiyo nilikuwa na kideti cha kukutana na mtoto town... Sasa zile harakati za kupendeza si...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Mimi mjumbe tu, Wanaume wenzenu wameandika huko.
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Leo Nifah kanikumbusha kuhusu misemo ya mzee Mugabe. Kama ni kweli hii misemo ni yake basi yule mzee anazeeka vibaya sana na inabidi apumzike tu. Sijui anakulaga nini aisee. Ila ana uwezo mkubwa...
10 Reactions
43 Replies
6K Views
DUh!! mwalimu Shirima uliniambia mjini kuna Wazungu ukienda utawaona na utawasalimia Goodmornng after noon nakazalika kila siku napita nawaona kwenye duka la nguo nawashtuaga Mmnabebwa upumbavu na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Nani hajawahi kupotea hapa town(dar es salaam) akaenda mahali bila kuulizia? Mimi mwaka jana nilizunguka sana pale Posta nilikuwa naitafuta ofisi za TNMC kuna form nilikuwa nazipeleka za sister...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
1.Kumlaza mchepuko kwenye kitanda cha mkeo wa ndoa,hii ni kokoro. 2.kujifanya unaidharau ndoo ya bafuni,wakati huohuo unapoenda kuoga unapiga mswaki kwa maji ya ndoo hiyohiyo,hii ni kokoro...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Baba yetu ulie ikulu jinalako liogopwe utumbuaji wako uendelee na maisha yetu yazidi kua magumu, kama yale ya kabla ya uhuru! Utupe leo stahiki zetu ulizotuahidi baba, uwasamehe wasio kupigia...
0 Reactions
3 Replies
825 Views
Ni jambo la kumshukuru MUNGU kufikisha mwaka mwingine nikiwa mzima wa afya, niungane na wote waliozaliwa siku kama ya leo tutakiane heri ya siku ya kuzaliwa. [emoji322] [emoji322] [emoji482]...
4 Reactions
7 Replies
797 Views
Buying flowers to ur Sukuma girlfriend is not a problem at all. The problem is when you receive her SMS*.. Mpenzi mboga za majani ulizoninunulia hazina ladha nzuri ,labda nimekosea kuzipika...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Wana bodi, nimepishana na pick up Nissan Navara imesheheni spanner za ukubwa tofauti tofauti hapa Mkuranga njiapanda ya kisiju kuelekea nyamisati. Hii pick up ina watu wawili, dereva na abiria...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Muamerika, Mjapani na Mwafrika walikuwa wanaoga sehemu moja ya bafu la wazi. Mara mlio wa kifaa ukasikia, mmarekani akanyanyua mkono ... akasema ni mimi nina Microchip pager in my arm Ghafla tena...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maisha bhana huwa nayo hayapendag ujinga kabisa...!!! Mshahara ukiingia tu wiki ya kwanza unakula kuku ila wiki ya pili unaanza kula product za kuku (mayai) wiki ya tatu ya mshahara unaanza kula...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Mafundi ujenzi wa bongo kwa "swagga" hawajambo . Nilikutana nao site moja pale...wakiosha vifaa vyao vya kazi....mida ya jioni ! Mmoja alianza kwa kusema..." itabidi tuanze mgomo wa kutotumia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau, Nina kadent kangu ka 1st yr chuo flani hivi, haka kabinti nina muda nako naeza kukadiria ka 3 yrs. Ofcuz kenyewe ndio kalifall in-love kipindi hiko mimi nipo college nilikua nakadharau...
1 Reactions
66 Replies
5K Views
*_Najaribu kufikiria tu. Januari huwa ngumu kimaisha miaka yote...sasa najaribu kuvuta picha Januari ya mwaka kesho itakuwaje!* NAJIKUTA NAIMBA ZANGU...
0 Reactions
2 Replies
566 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…