Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama...
Habari wakuu! Poleni na majukumu ya kila siku.
Katika games za Android/OS ninazozikubali ni QuizUp. Ni game inayohusisha topics nyingi sana na za aina mbalimbali. Topic yeyote ile inayokuvutia...
Hi Jamii Forums members,
Ndugu zangu mwezi December ndio huooo ushafika, huu ni muda mzuri kwetu sote kujitathmini ni yepi ambayo bado hatujayakamilisha mpaka sasa ikiwa ni malengo...
unakuta mtu anaimba kwa sauti kubwa then wimbo wenyewe hajui anaimba uongo(anachapia)
nimewakuta mara nyingi watu kama hao....wanaimba uongo mtupu unao fanania na ukweli.
mi hua nacheka kimoyoyo...
Ama kweli sasa hivi hali ni ngumu yaani hata zile ndoto za kuota unakula majipochopocho pia zimesitishwa? siku hizi ukiota ni umekufa au unakimbizwa lakini kuota unapiga mahanjumati Noooo...
Asikudanganye mtu eti wine inasaidia digestion,aah!wapi kitu SHARUBATI YA UKWAJU,hata ukipata constipation ngumu kiwango cha lami italainika tu kudadadaek[emoji270] [emoji270]
Asante Mungu, asante mama peter na wengine wengi wenye mchango maishani mwangu, kipekee niseme huu pia ulikuwa mwaka wangu kama uliopita, maana mambo matatu niliyopanga niliyatimiza mwezi wa tatu...
Fikiria kwa kina kipi muhimu zaidi (Chagua moja - zingatia neno zaidi)
1. Kuoa / kuolewa
2. Kuwa na watoto
Kwa kuwa nahitaji kwenda lunch naamini nitakuta majibu kwa wale 10 watakaowahi kusoma...
Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa...
Dah kweli kuwa karibu na mahakama siyo kujua sheria ni zaidi ya miaka sita nipo Dar es salaam ila sijawai fika sehemu hizi
1:daraja la Mwl Nyerere aka kigamboni
2:sijawai panda basi la Mwendo kasi...
Ndani ya Basi litokalo D'SALAAM kwenda MOROGORO..
Simu ya mdada mmoja ikaita, akapokea na kusema "hello niko njiani kuelekea ARUSHA kwenye msiba, nitakupigia nikifika"
Mara simu ya mkaka ikaita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.