Naomba mnitajie sehemu ambazo wanaume wa kizungu au pia watoto wa kizungu wadogo wanapopendelea kwenda kuburudika kwa hapa dsm...
Kuna kabiashara flani hivi nataka nikafanye hayo maeneo,nitaleta...
Heshima Mtoto kaona nyeti ya baba yake, Akauliza "nini hii"? Baba,akajibu "ni Heshima", kesho yake wakaja wageni, baba akamwambia mtoto, "toa heshima kwa wageni", mtoto akatoa Nyeti yake...
Naomba mnijibu swali la leo.
Hivi ""ADAM"" NA ""EVVA"" baada ya kujua kuwa wamekuwa MME na MKE: Je!
""ADAM"" alilipa mahari ?
Kama alilipa! alilipa kwa nani? Kama hakulipa wanaolipa mahari...
Mimi kati ya vitu ambavyo sitosahau ni pale nilipoenda mji mmoja hivi hapa nchini sasa bhana nikahisi barafu ni muwa nikanunua zile za kwenye kijiti badala ya kulamba mwenzio nikang'ata nusu yake...
Jamaa kaamka asubuhi sana Jumamosi, mvua inanyesha kang'ang'ania kuwa anaenda ofisini. Kawasha gari yake, kufika njiani hali ilikuwa mbaya kaamua kurudi. Kafika home kavua nguo kaingia tena...
Mhindi akinistress basi huingia JF. Kuna list ya watu ambao huwa nayapitia maandishi yao ili kidogo kunifurahisha na kunifanya nirudi duniani. Miongoni mwa watu hao ni huyu bujibuji.
Hebu naomba...
Netwek ya tigo bomu kweli
jamaa alikuwa anachat kwa txt na
mpenzi wake
Binti; Hi Babes
Jamaa: Hi luv (msg sending failed)
Binti: Vipi upo?
Jamaa: Ndio nipo sweety (msg sending
failed)
Binti: Mbona...
Tulikuwa bar moja jana mlinzi kaingia spidi, akamwambia jamaa mmoja aliyekaa kaunta, Mlinzi: Mzee gari lako limeibiwa Mzee: Umemtambua aliyeiba? Mlinzi: Hapana lakini nimeandika namba za gari hizi...
Ukitaka kujua mwanamke sio ndugu yako soma hii hapa upate undani. Jamaa karudi toka job mpole!
MKE: vipi leo mbona mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua na watu wote wamekufa,
MKE: ilikuwaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.