Baba akimuuliza chemsha bongo mwanae anayesoma shule ya chekechea "haya niambie kitu gani hakiwezi kuliwa wakati wa breakfast?" Mtoto akajibu "hiyo mbona rahisi baba, si lunch na dinner"
Jamaa alikuwa anapita nje ya wodi ya vichaa akasikia mtu anasema, 13, 13, 13, 13, 13, 13,….. akaamua kuchungulia kwenye kitundu alichokiona ajue kuna nini, ile kuchungulia tu akamwagiwa mchanga wa...
Niaje Wazeiyaaaaaaaaah....
EBANA SAWA:
Mnajua nini??? Mie nina demu wangu... sawa mazee!!
Na huyu demu wangu is that kind of a girl like many other girls are:
"used".
Sasa kama mnavojua msimamo...
Wengi wamejiajiri wengine wameajiriwa wengine wako busy na biashara zao. Career ni nyingi. Baadhi hawana kabisa kazi.
Uzi huu special kufahamiana zaid Ila Kwa ufupi.. Andika kazi unayofanya...
Wakuu leo asubuhi nimekutana na mwanamke kavaa baibui jeusi, cha ajabu ana jino moja, hana ulimi, miguuni ana kwato kama ngombe,alikua kabeba kikapu kilichojaa vichwa vya BUNDI.
Nimeogopa sana...
Naomba mnijibu hili swali kuhusu wanawake wanaokula udongo ,je ni kwa wale wenye mimba tuuu! Au ni huwa wanakula tu kama pipi kwa hamu zao wenyewe?
Naomba mnijibu hasa nyie wanawake wa jamiii...
IFUATAYO NI TAARIFA YA HABARI MSOMAJI WENU NI MIMI MPATWA MAJANGA LAKINI KWANZA NI MUHTASARI WAKE;
1.Serikali yawapeleka nyuki depo ili kuweza kulinda benki.
2.Serikali yapiga marufuku ulaji wa...
Habari za leo wana jamvi.
Ishu iko ivi kuna avatar umu kwa kweli zinatutia vishawishi kuna avatar umu ukiangalia moyo unatetemeka.
Kuna avatar umu ukiitia machoni unaanza kutengeneza pichs kuwa...
Yaani leo nipo nipo tu. Nani yupo yupo kama mimi?
Am bored....sijielewi....nipo tu yaniii like sipo vile.
I wish nielezee vile najisikia ila sijapata right words za kuandika.
Kesho ni Cku ya Mgomo kwa Wanaume wote Duniani.. kukemea vikali Swala la kuhonga Hela Wanawake.. kwa sababu..5
=.1..NYEGE Mnazitafuta wote..
=.2...MAPENZI mnafanya wote..
=.3...VIUNO, Mnakata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.