JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
MPOLE TUTAMKUMBUKA SANA
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kurudi shule Mtoto kamuuliza babake; " Eti baba, Unataka kuanza tena shule? Baba akauliza: "kwa nini Umeuliza hivyo? Mtoto akamwambia: Jana uthiku, nilickia ukimnong'oneza mama" Eti, kama...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
*Kwa hali ya saivii hata ukivunja Nazi njia panda watu wanaenda kukuna na kuungia mboga....!*
1 Reactions
1 Replies
958 Views
Habari wakuu! Poleni na majukumu ya kila siku. Katika games za Android/OS ninazozikubali ni QuizUp. Ni game inayohusisha topics nyingi sana na za aina mbalimbali. Topic yeyote ile inayokuvutia...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Hi Jamii Forums members, Ndugu zangu mwezi December ndio huooo ushafika, huu ni muda mzuri kwetu sote kujitathmini ni yepi ambayo bado hatujayakamilisha mpaka sasa ikiwa ni malengo...
1 Reactions
1 Replies
734 Views
0 Reactions
20 Replies
3K Views
unakuta mtu anaimba kwa sauti kubwa then wimbo wenyewe hajui anaimba uongo(anachapia) nimewakuta mara nyingi watu kama hao....wanaimba uongo mtupu unao fanania na ukweli. mi hua nacheka kimoyoyo...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ama kweli sasa hivi hali ni ngumu yaani hata zile ndoto za kuota unakula majipochopocho pia zimesitishwa? siku hizi ukiota ni umekufa au unakimbizwa lakini kuota unapiga mahanjumati Noooo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Asikudanganye mtu eti wine inasaidia digestion,aah!wapi kitu SHARUBATI YA UKWAJU,hata ukipata constipation ngumu kiwango cha lami italainika tu kudadadaek[emoji270] [emoji270]
0 Reactions
1 Replies
837 Views
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hali ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
1 Reactions
50 Replies
4K Views
Asante Mungu, asante mama peter na wengine wengi wenye mchango maishani mwangu, kipekee niseme huu pia ulikuwa mwaka wangu kama uliopita, maana mambo matatu niliyopanga niliyatimiza mwezi wa tatu...
2 Reactions
10 Replies
935 Views
Fikiria kwa kina kipi muhimu zaidi (Chagua moja - zingatia neno zaidi) 1. Kuoa / kuolewa 2. Kuwa na watoto Kwa kuwa nahitaji kwenda lunch naamini nitakuta majibu kwa wale 10 watakaowahi kusoma...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi ninavyoona maisha sio magumu na hayajabadilikaa ilaa utofauti ni jinsi ulivyokuwaaa unajipatiaa kipato chako kama ilikuwa ni kwa halali maishaa yatakuwa ndo yale yale ila kama mlikuwa mmezoeaa...
2 Reactions
5 Replies
782 Views
*TONGOZO* *mwenye gari namba* *T 2016 JPM* *akalisogeze watu wanashindwa kufanya mambo yao*
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Dah kweli kuwa karibu na mahakama siyo kujua sheria ni zaidi ya miaka sita nipo Dar es salaam ila sijawai fika sehemu hizi 1:daraja la Mwl Nyerere aka kigamboni 2:sijawai panda basi la Mwendo kasi...
2 Reactions
83 Replies
4K Views
Short na Long Call Kama haja ndogo ni ''short call'' Haja kubwa ni "long call" Basi kujamba iitwe "missed call"
1 Reactions
11 Replies
2K Views
*Hali mtaani imekua mbaya hadi waganga wa kienyeji wanakubali kuku wa BROILER* [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
0 Reactions
1 Replies
861 Views
Ndani ya Basi litokalo D'SALAAM kwenda MOROGORO.. Simu ya mdada mmoja ikaita, akapokea na kusema "hello niko njiani kuelekea ARUSHA kwenye msiba, nitakupigia nikifika" Mara simu ya mkaka ikaita...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…