JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimetumiwa SMS na bobi ya mikopo kuwa nadaiwa. Na wamenipa siku 30 tuu nijisalimishe. Hashii!!!! Nikawambia mbona sijasoma chuo kikuu wala kuwakopa??? Wakanambia mbona kila siku najiunga...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No! Akaona hapa anasumbuliwa...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuishi kijijini inabidi uwe mvumilivu[emoji51] Unaenda kuoga unakumbuka umesaau sabuni unaenda kuchukua unafika bafuni unakuta ng'ombe kanywa Maji yote[emoji1] Unaenda kuchukua mengine ile kurudi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:- "Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako" Mume akamjibu:- "Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila...
16 Reactions
44 Replies
9K Views
MAZINGAOMBWE Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... jua hauko peke yako. Chukua karatasi na kalamu anza...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Baada ya kumshukuru Mungu kwa ulinzi wa Usiku uliopita, na kumwomba akuongoze Leo, HEBU tutafakari pamoja neno hili fupi; Luka 16: 20-22 20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni...
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Chukua simu ya mke wako alafu mtumie meseji rafiki yake andika "Daah shost nina mimba"... Likija swali "Ya nani hyo shoga"..... Chukua karatasi na kalamu anza kuandika talaka
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawaza ...siku ukifika mbinguni utahuliza swali gani ambalo unadhani limekosa majibu unayoyaamini hapa duniani....??
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Wabana matumizi... Wa kujiachia leo tukutane hapa. Kutokujua unatumia kiasi gani kwa siku hata kwa chakula unachokula mwenyewe....
7 Reactions
346 Replies
20K Views
Kweli maisha magumu kuna station ya tv ilisema Leo kipindi cha mapishi kitakuwa wali samaki...naona now wanaomba radhi eti watapika ugali na mchicha......
5 Reactions
0 Replies
1K Views
Amani iwe kwenu wandugu Leo nimekutana na mwalimu wangu aliyenfindisha somo LA kiingereza kidato cha pili na tatu. Alikuwa mwalimu makini asiyetaka mchezo mchezo. Alikuwa mwalimu katili hasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimekua nikifuatiliza vibonzo kutoka kwa wachoraji mbalimbali wa siku hizi, wengi wao wanatumia picha halisi ya mhusika, then sehemu zingine za mwili ndio zinachorwa. Sijui huu ndio mtindo wa...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Angalau kila nyumba ina kiwanda cha kutengeneza juice, Pia kuna viwanda vikubwa vya kutengeneza barafu na ice cream Kama hiyo haitoshi kuna kiwanda kikubwa sana sana cha kuchonga fenicha Lakini...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Mfano wajita wana nyimbo mbili zikipigwa kwenye maharusi utaona magauni marefu na suti zinaserebuka hatari wa kwanza unaitwa NDOLELA Mwingine sijui jina lake ila una kibwagizo "Mwana wao Chagega"...
0 Reactions
37 Replies
12K Views
3 Reactions
10 Replies
9K Views
Kichwa cha Habari ' kimejitosheleza ' vilivyo hivyo karibuni tu ' mtiririke ' Wadau.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Have you noticed that most of Tanzanian's problems begin with the letter'P'....? . Police . Pinda . Politics . Pension Thieves . Power failure . Petrol - uchakachuaji . Prostitutes . Pirates ...
6 Reactions
103 Replies
5K Views
Ndugu Kama Kichwa cha Habari kinavyojieleza Taja Jina Moja Kati Ya Matatu Unayoitwa......???? Binafsi: Msangi
2 Reactions
82 Replies
4K Views
Mzungu akilala hushika KICHWA mhindi yeye hushika TUMBO sasa tuna kuja kwetu sisi wa Swahili ukilala zako KUSHIKA SEHEMU ZANDOA yaani katikati ya MIGUU
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom