Nimetumiwa SMS na bobi ya mikopo kuwa nadaiwa. Na wamenipa siku 30 tuu nijisalimishe.
Hashii!!!! Nikawambia mbona sijasoma chuo kikuu wala kuwakopa???
Wakanambia mbona kila siku najiunga...
Baada ya Talaka mke kamtumia mume meseji:-
"Nasikitika kukujulisha kuwa binti uliyemlea kwa miaka 20 sio mtoto wako"
Mume akamjibu:-
"Duh! Nashukuru Mungu kwani nilikuwa nikiumia rohoni kila...
Baada ya kumshukuru Mungu kwa ulinzi wa Usiku uliopita, na kumwomba akuongoze Leo, HEBU tutafakari pamoja neno hili fupi;
Luka 16: 20-22
20 Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni...
Kweli maisha magumu kuna station ya tv ilisema Leo kipindi cha mapishi kitakuwa wali samaki...naona now wanaomba radhi eti watapika ugali na mchicha......
Amani iwe kwenu wandugu
Leo nimekutana na mwalimu wangu aliyenfindisha somo LA kiingereza kidato cha pili na tatu.
Alikuwa mwalimu makini asiyetaka mchezo mchezo. Alikuwa mwalimu katili hasa...
Nimekua nikifuatiliza vibonzo kutoka kwa wachoraji mbalimbali wa siku hizi, wengi wao wanatumia picha halisi ya mhusika, then sehemu zingine za mwili ndio zinachorwa.
Sijui huu ndio mtindo wa...
Angalau kila nyumba ina kiwanda cha kutengeneza juice,
Pia kuna viwanda vikubwa vya kutengeneza barafu na ice cream
Kama hiyo haitoshi kuna kiwanda kikubwa sana sana cha kuchonga fenicha
Lakini...
Mfano wajita wana nyimbo mbili zikipigwa kwenye maharusi utaona magauni marefu na suti zinaserebuka hatari
wa kwanza unaitwa NDOLELA
Mwingine sijui jina lake ila una kibwagizo "Mwana wao Chagega"...
Have you noticed that
most of Tanzanian's problems
begin with the letter'P'....?
. Police
. Pinda
. Politics
. Pension Thieves
. Power failure
. Petrol - uchakachuaji
. Prostitutes
. Pirates
...
Mzungu akilala hushika KICHWA mhindi yeye hushika TUMBO sasa tuna kuja kwetu sisi wa Swahili ukilala zako KUSHIKA SEHEMU ZANDOA yaani katikati ya MIGUU