Tofauti ya Binti wa Kizungu na Binti wa Kibongo pale ambapo Mwanaume wake atokapo kuoga.
Binti wa Kizungu: *Baby you look nice and fresh.*
Binti wa Kibongo: *Naona safari imeiva, Mwanaume...
Wakuu mko poa?
Jamaa yangu mmoja kafungua hizi ofisi za kuchora watu tattoo na juzi alinikaribisha ofisini kwake kuona mambo yanavyoenda,katika maongezi yetu nilimuomba kidogo anikopeshe hela lkn...
duh,yani majukwaa mengine yote this night at this time,wamelala na nyuzi watu hawachangii ila huku naona muda huu nyuzi zinaguswa tuuu kama kawaida ase....ukipost comment unakuta unaambiwa there...
Heshima kwenu wakubwa
Samahani kama nitamkwaza MTU hapa
Huyu Dada me namukubali kwa urembo wake na kwa michango yake na ushauri anaotoa katika jukwaa hili. Hana shobo na mtu
Popote ulipo wifi...
habari wana JF
Nimekuja kilimanjaro kikazi kwa mda wa miezi 6 nitakua moshi mjini hapa sasa nina kama week 3 hivi tokea nimekuja daah yaani kuna watoto wazuri balaa yaani mtoto ukimwona tuu...
Leo November 11ni birthday yangu nimeona pamoja na kujitathmini kimaisha, si vibaya nikatathmini mustakabali wangu kama member wa Jf.
Kwa muda mrefu nilikuwa nawafuata pm baadhi ya warembo wa Jf...
Wanawake Wa Mjini Sio wa Kuwawekea Wivu Hata
Kidogo
Unaweza Kuumwa Kila siku
Ukimpenda Mpende Ila usiweke Moyo wote Kwake
Hawajui Kulima ila Wanajua kuvuna..!
Je umewaza kumiliki mjengo wako wa maana kwa Pesa yako yakuchanga changa.
Sasa hii ni kwaajili yako mpenda vya rahisi.
Wahi kabla haija.....
_Jamani kuna nyumba inauzwa *milioni 8 tu* ipo vizur...
*Mimi ni kijana mchapakazi, namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu...
Ukistaajabu ya musa........
Kweli dunian kuna vituko,
Leo nilikua baa moja ya rafki angu (Kona Bar),
Basi bwana, Wakati napata Kinywaji laini huku nikisindikizwa na Mziki mwanana kutoka kwa...
Trafik mlevi alisimamisha gari Mama akapaki pembeni akaona trafik anakuja akiwa anayumba! Alipofika akasema, "naomba leseni yako."
Mama akasachi mkoba Wake akatoa kioo kidogo cha kujtazama...
MTU PEKEE AMBAYE MWANAMKE ANAWEZA KUMSIKILIZA KWA MAKINI NA AKAMUELEWA AKAFANYA VILE HASWA INAVYOTAKIWA NI MPIGA PICHA TU
VINGINEVYO KUWA MPOLE TU NDUGU...