Wakuu ninaomba mawazo yenu kunifumbua katika hili. Je, starehe gani muhimu sana hapa duniani ambayo kila mwanadamu anastahili kuifanya/kuipitia kabla ya kifo chake??
Leo ni siku adhimu,rafiki yangu,kaka yangu mpenzi aliweza kuletwa duniani kwa rehema na neema za Mungu!
Ametimiza miaka kadhaa hapa duniani hvyo ni jambo la kumshukuru Mungu pia kuweza kufika...
Kuna kidemu flani tumewasiliana kama wiki tu...Sijakitongoza wala nini, sasa jana kimeniomba elfu hamsini eti kimepatwa na shida na hakina pa kukimbilia. Nikakizingua nikakiambia nikipata...
Tujikumbushe tu...,
Donald Trump..
“African Americans are very lazy. The best they can do is gallivanting around ghettoes, lamenting how they are discriminated. These are the people America...
Habari JF....
Asee nataka tu niwashirikishe majina ninayoyapenda....
Yani haya majina haipiti siku sijayataja hata kimoyomoyo...
Yako unique aseee...
1.Nangwana sijaona
2.Ubena Zomozi...
Siku moja nimepanga kukutana na dem mmoja
humu JF ni maarufu sana jina namuweka
kapuni,
Nimemwambia njoo nyumbani akaja vizuri tu.
Tumepiga story wee mi mpaka nikapitiwa na usingizi lakini...
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji...
Wana JF, nishaurini juu ya uamuzi wangu huu, maana kuna jamaa amenitisha eti kufungua akaunti kwenye hii benki ni sawa na kibonge kukwea mti wa Mpapai!
yeeee sasa tuone za enzi ziiile udogoni hebu taja filamu yako ya kwanza kuichek maishani mwako mi naanza na IT nilikua naiogopa kinomanoma hebu wewe taja yako na hisia zako hapa
Kwanza habari zenu wanajamvi wote Kwa ujumla.Mimi Nina tatizo la kuishiwa damu Kwa baba yangu yaani damu inamuisha tuu Na kila baada ya week Tatu au nne anabidi aongeweze damu. Tulikwenda kila...
WAHENGA WALISEMA CHOZI LA SAMAKI LINAKWENDA NA MAJI....
Mimi nasema CHOZI LA MWANAMKE HUMLAANI MWANAUME ALIYE UMIZA MOYO WAKE!
Mara nyingi mwanamke huingia katika mahusiano ili KUITETEA AMANI...
Nawasalimu Wana Jf,
Ukienda Arusha ni balaa,ukija da Shida,kampala usiseme ,Ruanda haya,mbulu wacha,Mombasa haya,Tanga sokomoko,Morogoro,Mbeya,Upare,watoto wa kike ni balaa,mnazidi kupendeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.