Hivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapat mikopo
#nawaza kwa sauti[emoji3][emoji1] [emoji9] [emoji9]
*_Mwalimu Wa Hesabu Aliingia Dalasani Na Akaanza Kumuuliza Juma Swali_*
[emoji28][emoji28][emoji28]
Mwalimu:juu Ya Mti Kuna Ndege 20 Ukiichukua Bunduki Ukawapiga Ndege 2 watabaki wangapi?
Juma...
Kuna jamaa alipigiwa sim na mpenzi wake ikawa hivi.. Mpz:+ hellow baby nime kumiss. Jamaa:+ hata mimi baby. Mpz:+ unajuwa nini mpenzi? Jamaa:+ nini mpenzi. Mpz:+ kuna kitu nataka nikuambie...
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE....
Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea....
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] naanza kwa kicheko. Manager haishiwi mbwembwe jukwaa la bure lazima nitiririke kama mzaramo kaona mdundiko.
Dunia ya Leo wawindaji tunawindana tena zaid...
This economy problem in Tanzania is no longer funny ooo!
Today I saw a woman Negotiating school fees "Mwalimu, na tukitoa geography na Civics itakua ngapi, I want him to become a doctor not a...
Mtu mna wiki tu anakwambia, ''Baby naomba basi japo unipe mtaji nifungue kibanda cha MPESA. Love yuuuuu xoxoxoxo''..
Line tu ya M Pesa si chini ya 2milion, bado hujaiwekea float, hujalipia kodi...
hivi humu hakuna wanaoongea pumba kama unahisi unaoongoza kwa pumba hebu zitupie humu mshindi atatajwa na kupewa zawadi shiriki ubahatike bahati ya maisha
Wakuu
Huu ni ujumbe mweusi kutoka nchi ya watu weusi
Ukiwa mwema kwa kila mtu unatengeneza njia ya kila mmoja kukukimbia unapopata tatizo kwani watakuwa wanafata wema ulionao nakusahau kuwa na wao...
Nimetumiwa screen shots za mazungumzo kati ya pedesheee mmoja na diva wa clouds ambapo jamaa akawa anaomba papuchi ya diva kwa million 3 na demu kakubali kabisa na ile number nimefuatilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.