JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
....Hivi kati ya mamba na kiboko nani kiboko!?
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Kamfunga mume wa.AZAM NA yanga
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Leo nimepita mitaa ya Posta nikasimamishwa na traffic mmoja walikuwa wapo kama 4. Huyu mmoja akaniuliza naelekea wapi? Nikamwabia naelekea Jangwani kuna mtu namfata akaniomba nimpakie na nimshushe...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Laki si pesa cjuiiii Hasara roo pesa makaratasi..Vp jamani Wadau embu niongezeeni mingine
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Asiwe mwny hasira za kalibu,mi napenda utani.Asiwe mcha Mungu Sana,aje atake niamie dini Yao.Ajzuie kuniomba ushaur,inapotokea kaznguana na boy wke.. Asiwe mjuaji kwny media,story za diamond na...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Sipendagi ujinga
0 Reactions
3 Replies
648 Views
Mtoto mzuriiii wa kike kuwa Mwalimu mi naona sio vizuri kwani wanafunzi wa kiume hupata shida(hushindwa ku-concetrate kwenye kitu kinachofundishwa na mwalimu huyo na kuishia kutazama maungo ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kuna sehemu fulani nlikuwa napita njia nikaona baadhi ya mabango ya majina ya bishara yameandikwa kama ifuatavyo:- LEADS FIRST SALON,TUNABAN CD na jengine GOGEMENT DAY.Sijui ni mbwembwe za...
1 Reactions
43 Replies
11K Views
Hebu Fikiria Umetoka zako Job Saa 2 Usiku, Njaa + Uchovu + Stress Za Kazin + Usingizi…. Unaamua zako kuingia Geto Ulikopanga Kwa kunyata Landlord Asikusikie Coz anakudai...,Ile Unaingia Ndani...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
*NDOA INAFUNGWA KANISANI* *Mchungaji akauliza* *"Yeyote Mwenye pingamizi na Ndoa hii aje mbelee"...* *Kibabu kimoja kikasimama kwenda mbele..* *Bi harusi Akazimia Ghafla -Mchungaji:-Twambie...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna jamaa chapombe sanaa kila baa mtaani kwetu anaijua yeye anajiiita mchanga hachagui maji. Sasa Siku mmoja jirani yake alimuozesha binti yake. Alitaka kumfanyia sendoff. Basi jamaaa akawa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Dem lazima awe Sharp...Bed...Jikoni...Everywhere! Make your Man proud of YOU!! Ukiwa Sharp hata jamaa atakusifia kwa rafiki zake, hiyo kafanya dem wangu bwana....Sasa jamaa hana hata kimoja cha...
6 Reactions
45 Replies
3K Views
Hivi kwa usawa huu wa awamu ya tano!!hivi wale wenye tabia ya kuwapa waume zao limbwata ili atulie nyumbani !!hivi kuna anaefanya hivyo tena kwa awamu hii?? Kama wapo waseme saa hivi kati ya...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
wakuu npo mitaa hii ya tabata kwa opereshen maalumu sasa naona ntalala huku kwahyo nilikuwa lodge nzuri inayopatikana maeneo haya Tafadhari
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Basi Jana wakati natoka job mbezi beach kufika afrikana si nikakutana na rais Obama. Etii ameniomba lift ikabidi nimpe tukafika mwananyamala akashuka akasema anaishi mwananyamala kisiwan...
1 Reactions
0 Replies
755 Views
Tafadhali naomba msaada wa kupata contacts za kiwanda cha kutengeneza chupa za plastic hapo arusha. Ukubwa wa chupa ni mls 350 au zinaitwa jam jars.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mambo yananishangaza, hawa wazungu wamekuwa wakarimu na wanatusaidia sana. Wanatoa misaada katika vituo vya yatima, wanatupa misaada ya dawa,wanatupa huduma za afya, wanakuja kutufundisha...
3 Reactions
2 Replies
836 Views
kifo cha Thomas Mashali kinasikitisha sana . ukweli ni kwamba nilichosikia ni kwamba huu umeme wa REA kule Kwembago udongo wake sio sawa na migomba ya Tukuyu, Hata hivyo mikutano ya kisiasa...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
Back
Top Bottom