Mvua zinatarajiwa kuchelewa ili kupisha uhakiki wa wafanyakazi hewa unaondelea nchini.
Kwa kuwa Mvua husababisha uharibifu wa barabara hivyo zitasababisha zoezi hilo kukwama mara kwa mara kwa...
Aseee kila siku namseduce bae nami nionje hii kitu ila hatakagi....
Sasa jana kuna sehemu tulienda,wakati wa kurudi sa natoa vitu nishuke naona kipakti kina majani kimeekwa chini ya...
*Money is evil ?*
*Jamaa mmoja karudi mapema kutoka Kazini mpole!*
*MKEWE: Vipi leo mbona mapema na mpole hivyo?*
*MUME: Ofisi yetu imeungua Moto na watu wote wamekufa.*
*MKEWE: Sasa ilikuwaje...
Habarini wanajamvi,
Katika hatua za ukuaji wangu, niliwahi kuwa na ndoto za kuja kuishi Ikulu, but as the days go naona hiyo ndoto imepotea kabisa.
So, i want to build my own buildings that will...
KITUO CHA KUULIZA MASWALI YA KIFALA 1- NA WEWE ULIZA LAKO
i. Shilingi 1000/-ni bei gani?- Kisa wa Mbeya
JIBU:Ndugu yangu swali lako zuri sana, uchumi kwa kuwa umepanda na wewe chukua ngazi...
Wakuu kuna neno ambalo sijawahi kulifurahia hasa ninapoona baadhi ya wakuu wakilitumia hapa jf neno hilo ni "KUTOA POVU" hivi huwa lina maana gani kwa sababu ni kama lugha ya picha hivi.... Lakini...
Huu ni ujumbe mweusi kutoka nchi ya watu weusi
Je wajiona kiongozi au mfuasi,mcha dini au mpagani,mpenda amani au mleta machafuko,mpenda watu au mchukia watu,tajiri au maskini,mshindi au...
Wa ndugu! Kulitokea na watu wawili(Wachumba) katika mahusiano matam sana na mazuri! Punde yule msichana akapata nafas ya kwenda kusoma burundi kwa mda wa miaka miwili na kumuacha boy wake tz huku...
BAHATI ILIOJE HII JAMANI.
××××××××××××××××××
Kuna siku nilikuwa maeneo ya Mjini kati
(City Center), nikaipenda suruali moja ya
shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo
ikabidi niende kutoa kwenye...
Habari za mida wadau wa JF Chit-chat.
Hivi wadau mshawahi pata time kupitia signature za wadau mbali mbali hapa jf? Binafsi leo nilibahatika kulog in jf kwa kutumia computer nikapata wasaa wa...
Ndugu wanaJamiiForums,
Nimekaa nikawazawazua mwenendo wa hali ya hewa inavyokwenda nikakakumbuka hako ka msemo ...ahahaaa
Siku hizi hata buku ni pesa hahaahhaaa...
Habari Wakuu
Habari za weekend waungwana, Niko na kaswali mtambuka
Nimekaa nikafikiri sijapata jibu kwa mfano hali hii ikiendelea kwa miaka mitatu mbele mfululizo itakuwaje
Hebu shiirikisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.