Eti Tanzania ni nchi pekee ambamo utakuta mschana anaenda mwenyewe kwa sonara, anachongesha pete kwa garama yake, anaandaa engagement party kwa garama yake,, alafu siku ya kuvalishwa pete eti...
chemsha ubongo:-
NI TUNDA GANI LENYE HERUFI 6? JINA LAKE UKILISOMA MBELE NA NYUMA MAANA INAKUA MOJA.,
NA UKITOA HERUFI 2 ZA MWANZO ZINAZO BAKI UNAPATA KIFAA CHA KUKALIA NA UKITOA HERUFI 2 ZA...
Kama video inavyoonesha wanaume wa Dar usharobaro mwingi mnashindia chips yai... Mkiachwa kelele nyingi kumbe mnapiga kidali moko then Chaliii alafu msiachwe... Vijana wa Mkoani wanapiga mihogo...
Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN...
Nipo hapa Kituo cha afya Kiburugwa na nina majibu ya vipimo mkononi, haki ya Mungu mke wangu kanidhalilisha.
Ni hivi, mke wangu ni mjamzito wa miezi 2 na mimba yake imekuwa ikisababisha tugombane...
Unakuta unamtoa demu lunch alafu mkifika anaagiza vitu vya gharama misosi nini alafu cha kushangaza sasa anashika shika apo anaacha anakula apo robo tuu ..
Au anaagiza dompo akinywa kidogo...
Hakika tukae tukijifunza kwamba uhai sio wetu na tuifikirie jehanam ambayo ndio kesho yetu.....
R. I. P. JOTI....
Tulikupenda sana ila Mungu kakupenda zaidi
Kuna kitabu kimoja nilikua nakisoma...
Najua ili wimbo uingie top ten katika vituo mbalimbali vya redio au tv hapa nchini lazima uwe na ujumbe mzuri, ala nzuri, na hata mpangilio.
Kwa takribani mwaka mmoja sasa toka huu wimbo utoke...
wazee wa kususa susa...kitu kidogo unanunia demu
wiki ili ubembelezwe wewe...Yaani unatafuta
kasababu kaduuchuuu ili unune....wengine eti
wananuna kisa wamemuita demu waende out demu
akasema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.