JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
za jioni ndugu zangu. kwa dhati ya moyo wangu naomba mnisamehe wadau wenzangu wa jukwaa hili tunalojadiliana kuhusu mapenzi,urafiki na mahusiano. mwenzenu Mimi mida hiihii nimetoka ktk kale...
2 Reactions
44 Replies
4K Views
Kama kwako imefunguka andika andika chochote nkupe like
0 Reactions
9 Replies
787 Views
Da long time sjaingia umu nmewamic mnooo
0 Reactions
2 Replies
574 Views
Nimesikia kamkopo hakajazama jaman nikaona niendeshe kandinga kangu mpk hapa nizuge zuge nione ntaondoka na nani leo? Au kametoka nisijetoka kapa?? Kama kuna boy amepinda njoo pm utakuwa wakala...
5 Reactions
57 Replies
4K Views
Wana MMU wenangu, siko salama. Friday kuna alinipigia simu akasema mke wake anaweweseka usiku akitaja Bujibuji. Na kwa ukali akaniambia atanimaliza. Leo niko kwenye viwanja vya Posta Kijitonyama...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Madrug Lords ni watu wanaojihusisha na kusafirisha ama kuuza madawa ya kulevya katika viwango vya juu...wenyewe ndio huwasambazia mapusher wa kitaa hivi vitu ,so yule jamaa anaeuza mtaani hajafika...
1 Reactions
1 Replies
730 Views
Ha haa! Ukija mjini ujiandae kuishi kwa masharti. Mwenye nyumba anakwambia mwisho wa kuingia getini ni saa mbili usiku, wakati mwajiri anakwambia kutoka kazini mpaka saaa nne usiku. Yani ni full...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu, Nimepita mikumi muda si mrefu naelekea kikazi mbeya, ila pale mikumi tumekutana na kiumbe cha ajabu, ni mfano wa ngedere lakini ana mapembe 7, ana meno 7, ana miguu 7, cha ajabu...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
KITUO CHA KUULIZA MASWALI YA KIFALA 1- NA WEWE ULIZA LAKO i. Shilingi 1000/-ni bei gani?- Kisa wa Mbeya JIBU:Ndugu yangu swali lako zuri sana, uchumi kwa kuwa umepanda na wewe chukua ngazi...
19 Reactions
51 Replies
8K Views
Kuna uzi mmoja joshua_ok aliuanzisha kwamba katika kufanikisha sera ya nchi ya viwanda diaspora tushirikishwe, cha ajabu niliona reactions za wabongo, hasa Lumumba crew ( aka wala vumbi au buku7)...
16 Reactions
235 Replies
14K Views
DODOSO LA MKOPO 1.Jina lako.............................................. 2.Jina la mzazi...................................... 3.Shule uliyosoma o level............... 4.Shule uiyosoma...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
eti jamani wakuu nimekuta jukwaa fulani nadhani ni habari na hoja mchanganyiko.kuna mtu amefariki,sasa nimekuta comments mbili tofauti sijaelewa mmoja kapost hivi {mbele yetu nyuma yake} na mwngne...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kuna kasichana niliona akiingia kwa neighbor, saa hii naskia *YES...! NO...! YEEES...!! YES...!!* I think wanajaza Questionnaires
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Kutoka bungeni,serikali wamesema kiwanda cha Azam ni cha kwao. Wao ndio wamejenga.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Naumwa hatari,malaria imenikamata ipasavyo.niombeeni hali yangu itengemae ili tuendelee na shughuli za ujenzi wa taifa.
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nilalapo hujilaza ndani ya kifua chako niamkapo huamkia ndani ya mwili wako. Joto lako la mpnz nimeshare hats sioni mwingine. Hakika wewe sikuachi wala kukusaliti. Nasikia tu kuwa mpnz yanaumiza...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ni mzima na namshukuru Mungu. Nimewakumbuka ndugu zangu. Nawasalimia tu , nakuwatakia usiku mwema.
3 Reactions
10 Replies
814 Views
Wakuu umofia kwenu, Niko safarini Kondoa, naomba ushirikiano na mabinti wa huko ili tufanye misa. Pangu Pakavu.
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Back
Top Bottom