JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Hawa watakuwa kabila gani?
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nauliza mahali hizi ofisi zilipo. Tafadhali nisaidieni.
2 Reactions
53 Replies
6K Views
Ule msemo wa kufa kufaana unajidhilisha LEO Wengi wamepata kujua uchafu, hila Na njama pamoja Na usaliti wa huyu mzee Alikua ana wasaliti ccm Na kuvujisha siri za utawala kwa vijana wa upinzani...
0 Reactions
2 Replies
802 Views
Jamani nilizoea kumwona kikulacho huku MMU.... Ila siku hizi simuoni tena,nini kimempata???? Amekua kimya kwa muda au kahama jukwaa??? Kikulacho a mishuuu popote ulipo,michango yako...
1 Reactions
45 Replies
3K Views
Kuna mwalimu wa shule moja ya sekondari alikuwa amezoea kumchapa viboko mwanafunzi mmoja mchelewaji. Mwanafunzi huyu alikuwa akichelewa kipindi cha kwanza kila siku. Hivyo, siku ambazo mwalimu...
1 Reactions
7 Replies
703 Views
Jf Ni Kwa Sasa Sio Tu Inafundisha Na Kuburudisha Pia Inajenga Mahusiano Na Connection Mbalimbali Kama Vile Elimu,biashara,kijamii Na Uchumi Tuko Members Mbalimbali Wenye Michango...
1 Reactions
8 Replies
757 Views
A guy was in a daladala and his phone rang. It was his wife calling and he wanted to show off so he decided to put his phone in aloud speaker and answered... HIM; Hi! Sweetheart missing me...
6 Reactions
10 Replies
3K Views
Nasikia Mpemba ni kigogo? Yupo mikononi mwa Polisi kwa sasa, nasikia kalegea anasema kila kitu! Nasikia anataja majina makaratasi Polisi yameisha! Majina yote anayotaja ni hatari tupu! Nchi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Juzi mgeni mmoja kaja home kwetu inshort ni binamu yang maza kachinja kuku na mapochopocho kwa ajili yake muda wa daku si jamaaa akaanza kujishebedua Mara hooo mboga zenye nyanya situmiii Mara...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Hawa Madem wana misimamo yao ambayo sijui wamefundishwa na Ngariba wa Loliondo au lah...Inapokuja suala la Bed Business, UTACHOKA! Kungfu si Kungfu...Taekwondo Si Taekwondo...Sarakasi si Sarakasi...
3 Reactions
30 Replies
3K Views
ukienda usa unakutana na Trump, ukienda Russia unakutana na mnyama puttin, Korea unakutana na KIM..[emoji119] ukirudi home unakutana na JPM [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
*Hillary Clinton alishinda midahalo yote, Donald Trump ameshinda uchaguzi* *Somo: Usibishane na mwanamke* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
4 Reactions
14 Replies
2K Views
We don't drink poison we don't hang hang....Trump front front. We loved him ourselves [emoji3][emoji3] our choice ourselves....Let them read numerals eeeeh Trump front...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
MTOTO:Baba kati ya kupata na kukosa ipi bora?? BABA:Kupata mwanangu MTOTO:Basi nimepata mimba...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
*Jana niligombana na wifi/shemeji yenu, Akaniambia nibebe kila kitu changu niondoke, Bas kiustaarabu tu nikachukua nguo zangu,mwishoni nikambeba na yeye nikamuweka begani nikaanza kuondoka nae*...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya Trump kumshinda Mama Hilary kwenye kinyang'anyilo cha Irais, kilichobaki ni NIPE NIKUPE (falsa yake). Na mimi nasema hivi: Ni'follow' niku'follow', tu'follow'ane Nipende nikupende...
0 Reactions
2 Replies
565 Views
Magonjwa Mtambuka yameibuka huko Lizaboni hasahasa stroke. Inasemekana kuwa Magonjwa Mtambuka hayo yanasabishwa na Sumu kama sumu-ya-panya na kadhalika. Mmoja wa walioathirika ni Kada wa CHADEMA...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kufuatia kushindwa kwenye uchaguzi wa urais wa Marekani, wafuasi wa Hillary Clinton wamemshtumu mchezaji wa man United Paulo Pogba kwa kuchangia matokeo mabaya
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Ukisikia hivyo tu jua kuku kaliwa nyoya, otea mtoa uzi amemalizia kufanya nini kati ya hivi? Kula ugali Kunyonya titi Kupiga shooo ya kibabe Kumgegeda mtu?
0 Reactions
43 Replies
5K Views
*Kuna mkaka anazunguka mtaani anatafuta watu 17 wa kuangalia nae movie... Sababu iyo movie imeandikwa 18 and above...*...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…