JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Masai mmoja alikuwa anasafiri kwa basi kutoka mkoa fulani kuelekea mkoa mwingine. Siku hiyo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kuvaa chupi kitendo kilichomfanya awe anaionyesha onyesha sana kwa watu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kiukweli kabsaaa binafsi yangu kati ya Rose Muhando na Bahati Bukuku Mi namkubali sana Boni Mwaitege, kwa sababu Christina Shusho ana sauti nzuri sana na ndiomaana hata Messi wakati anafunga...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
*Nimekuja kumtembelea msela hapa! Nimemsubiri katoka nje nikaongeza maji ya ugali, sasa kumbe alikua kapima maji saizi ya unga wake. Saivi tupo hapa tunakunywa uji, hata hatuongeleshani*
4 Reactions
5 Replies
1K Views
1. Umelewa unaenda bafuni kukojoa kisha kwenye kioo unajiona sura yako na kusema "samahani sikujua kama kuna mtu " unatoka ili umsubiri amalize uingie. 2. Unarudi home uko mbwii unaanza tafuta...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Nimeona duka mja maeneo ya kariakoo mtaa wa livingstone na udowe wateja ni wanawake kwa 100% hili jambo nilianza kufuatilia toka 2009 leo nalileta kwenu nitapata...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Hv jaman taarifa ya hsbari ya itv ile ya saa mbili huwa inaanzaga saa ngapi??[emoji15][emoji15]
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nakumbuka niliandikiwa na brother kwenye debate badala ya "im here to propose " nikasema " im here to glucose.tililikeni za kwenu
0 Reactions
2 Replies
621 Views
0 Reactions
4 Replies
7K Views
f.c.k.u
4 Reactions
24 Replies
2K Views
dumb
0 Reactions
0 Replies
724 Views
dumb
0 Reactions
0 Replies
577 Views
CHIZI ALIOZWA MKE... HARUSI YA KUFANA MASHAALLAH... SHAMRASHAMRA KAMA KAWAIDA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI...... HARUSI IKAISHA WATU WAKAONDOKA KWENDA MAKWAO.... CHIZI AKAINGIA CHUMBANI MWAKE AKAKUTA...
4 Reactions
5 Replies
1K Views
*The Perfect Man* - wakes up at 5 am everyday - exercises everyday - makes his own bed - cleans his room - works sincerely - does not touch alcohol - helps in the kitchen - does not indulge in...
1 Reactions
2 Replies
963 Views
Eti nimekutana na mapolisi wakaniuliza "mbona unatembea usiku..?" nikawajibu kwani usiku watu wanaogelea..!! Sahivi nipo kwenye difenda i think wananipeleka home sipendagi ujinga mimi
5 Reactions
15 Replies
4K Views
[emoji40] [emoji40] [emoji40]
0 Reactions
34 Replies
37K Views
Daah kunamajina yanautataa kama Mwaitako Mwasapumbu Mwanakicheche Mwananguu#Taja jina la ambalo linautata
0 Reactions
16 Replies
5K Views
MUME MPENDA UGOMVI Kila siku akirudi nyumbani hutafuta vijisababu visivyo na msingi......... Siku hiyo mke akajitahidi kuweka mazingira safi. Sebuleni pakafagiliwa kufutwa na kupangwa vizuri...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Demu mmoja wa kusoma alimwona kijana mmoja mzuri sana katika kituo cha daladala. Yule binti bila kuvunga akaamua kumfuata yule kaka ili amweleze hisia zake, “…wewe kaka ni mzuri, nimekupenda...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Peponi si Mchezo.!Utasikia watu, eti, watumie watu 10 utaingia peponi. Au mambo yako yatakuwa mazuri, hivi mnadhani Pepo mchezo! Yohana mbatizaj aliishi hadi mapangon kwa kula asali na nzige...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanaume wa Dar vyakula vyao ni kama vya dada zetu yaani Chipsi Mayai Kwa Mishikaki au Kipande chakuku Halafu akitoka hapo anaenda kumtekenyatekenya manzi yake halafu nae anajiona kama bonge...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom