JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
*CHEKI HII YA PANYA* [emoji232] [emoji232] [emoji232] ! *Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi* *Panya 1: *jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya)...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
TAARIFA KWA UMMA. Kwa wote waliokosa mikopo.... Mikopo yenu Imeshatoka hiyo hapo.... kazi Kwenu.
19 Reactions
212 Replies
14K Views
1. Hivi Barcelona wakuwafanyie vile Man city tena mbele ya Pep Guardiola mtu aliyewapa mafanikio? 2. Jaman jaman Chelsea ndo nini sasa au mmemsahau Jose Mourinho?,oneni sasa mmeleta janga eti siti...
0 Reactions
0 Replies
516 Views
Daah , nakumbuka nilimtumiaga meseji mamangu, sema baati nzuri dogo alikuwa home na nilimuga akaiwahi Maza nakumbuka nilimseve mamy , na nilimseve demu wangu may Daaahhhh wacha kabisa " baby...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
0 Reactions
0 Replies
440 Views
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Mungu amewapa wanawake pampuchi bure kabisa lakini wanatufanya tufanye kazi kuzipata na zaidi tunatumia pesa kabla atujazipata. Tunawapa dushelele pasipo wao kutulipa, pasipo makubaliano na...
2 Reactions
178 Replies
18K Views
Jamaa yuko restaurant anawaskia wadada wakimponda mwenzao....Ikabidi awaumbue tu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako, na nn sababu ya jina hilo?
0 Reactions
324 Replies
24K Views
kulikukuwa na watu wawili mtu na mke wake. watu hao walikuwa masikini wa kutupwa. siku moja walitembelewa na mtu aliyekuwa akisafiri. walimkaribisha kwa ukarimu na akalala hapo. mgeni huyo...
2 Reactions
5 Replies
834 Views
Wakuu habarini,,,,, ivi kunamtu amebahatika kuiona page ya Instagram ya uyu kijana aitwae johkepha_starboy Ni nimeshangaa katika page yake mambo anayo ya post ,,,, nimeahangaa kajitoa ufahamu...
0 Reactions
1 Replies
432 Views
Mda kama huu Mwaka jana ulikuwa wapi? Mimi nakumbuka zile kelele za acha waisome namba ndio zilisitishwa kwa mda!
2 Reactions
10 Replies
928 Views
kama ni vituko na kupoteza akili basi wengi wengi hutokea tukiwa tumelewa! hutaweza kujizuia kufanya kioja maana kwa wakati huo akili inaenda likizo kidogo.unaweza kufanya kitu kesho ukiambiwa...
0 Reactions
1 Replies
838 Views
Jamani mwanamke wangu ananisumbua. Full usumbufu mpaka shughuli zangu haziendi vzuri kabisa. Naombeni msaada wa mambo ya kienyeji ya kumtuliza na awe submissive kwangu.
1 Reactions
27 Replies
6K Views
Kama wewe uko Inlove na mtu,huyu mtu asubuhi hakutafuti yuko bize,ila ikifika usiku,tena usiku wa manane sa6 huko ndo anaanza kupiga simu na maswali ya kipuuzi,eti 'umelala'?Sasa unadhani sa6...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Jumapili nilisinziaa kanisani bana[emoji18]nimelala wee mara nikasikia jirani yangu ananimbia pembenii! "Mpendwa amkaa!!" Nikasikiaa na mchungajii uko!! "NYANYUKAA!!" Nikasimaama watu wote...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
wanajukwaa chit chat kuna maneno enzi fulani ukiongea au ukiyaunganisha katika misemo inaleta ladha unaonekana mjanja wa town sana. hebu leo tujikumbushie kwa uchache vibwagizo hivyo.japokuwa...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
Aisee hapa JF kuna waroto wazuri yaani ukiwaona tu roho yako inasuhuzika. Hata siku nikiwa na stress nafungua baadhi ya avator kuufariji moyo wangu. Baadhi ya warembo ambao wananikosha ni...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Ilianza kama utani sasa hivi ni kweli jamaa wamelivalia njuga TCRA! Mi napenda sana kasimu kangu ka TECNO ni kasimu kenye usalama, SAMSUNG zinalipuka ovyo, sasahivi naogopa samsung yoyote ile...
0 Reactions
0 Replies
829 Views
Nijuze elimu yako ya kidunia na kiimani plz
3 Reactions
197 Replies
13K Views
Back
Top Bottom