JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
WAKUU... natafuta mdada wa makamo wa kubadilishana mawazo na ku discuss kuhusu mambo ya kimaendeleo... Ni PM Kama uko tayali
0 Reactions
2 Replies
634 Views
*Jamaa wakati anakata roho huku mkewe amemshikilia alisema:* Mke wangu, mimi natubu kwako, kwani nilifanya mapenzi na dada yako, mdogo wako, rafiki na mamayako. Mke akamnong'oneza: Nayafahamu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mtu anaifanyia lamination atm card afu anasumbua atm card yake haifanyi kazi mi nimemwambia aende makao makuu benki mimi sipendagi ujinga
2 Reactions
4 Replies
1K Views
*Tarehe kama hizi ATM card haina tofauti na kitambulisho cha kupigia kura* [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
7 Replies
2K Views
KWAWALE AMBAO SIMU ZAO ZINAKUWA NA JOTO SANA FANYA HAYA:- Kama simu yako ina Joto sana fanya yafuatayo. Ingia Gallery kwenye photos alafu delete picha za watu wote waliovaa masweta...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamke akimwacha mwanaume, baadaye akajua amepata binti mkali(mzuri) zaidi yake anaumia .
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwana jamii forum mwezetu bibie tya02 mungu akupe umri mrefu na pesa mfukon.
6 Reactions
11 Replies
1K Views
MWENYEWE ANAFIKIRI COMEDY, KWANGU MIMI LOVE STORY! Tumsifu Yesu kristo wadau! Bwana Yesu asifiwe wadau! Asalaam aleykum wadau! Inanibidi tu niwaambie yanayonisibu maana siwezi tena kukaa nayo...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Nina swari la kiuchunguz apa asa nimegomea kwenye hewa. HIVI MCHERE UKIWA UNAPIKWA MAJI UMEZA MCHERE AU MCHERE UMEZA MAJI
0 Reactions
13 Replies
2K Views
dah wakuu nina miezi miwili hivi baada ya kumpata mpenzi mpya kwenye sosho media huyu she uwaga nashindwa kumuelewa sometime najiuliza ndio dijital imetupeleka mbali kiasi hiki balaa nipale...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Tujaribu na hivi
9 Reactions
53 Replies
3K Views
3 Reactions
14 Replies
5K Views
MATHEMATICS EXAM PAPER Time: 2Hrs 30MINS INSTRUCTIONS: ATTEMPT ALL QUESTIONS. ALL QUESTIONS CARRY EQUAL MARKS. 1. You have dated a girl for 2 years, eventually she drops you for another guy...
0 Reactions
4 Replies
933 Views
Tunatoa offer kutangaza matangazo ya waliopotelewa vyeti kwa haraka upesi na kuwafikia wengi kwa haraka.... Maalumu kipindi hiki cha uhakiki wa VYETI HEWA Lakin pia tunatoa huduma ya uganga...
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Ukiona MTU anadai kuwa anakupenda kwa kigezo kuwa akikuona anafurahi au anafurahia kuwa na wewe elewa kuwa MTU Hugo hakupendi kabisa.
2 Reactions
9 Replies
880 Views
Hivi sku za karbuni nmekua nkibadlisha sana madem nawaleta geto kwangu, pamoja mwenye nyumba hakai hapa lakin naona noma kwa wapangaji wenzangu naona kama wananizungumzia vbaya... NATAKA KUSTAAFU...
0 Reactions
34 Replies
3K Views
Binafsi nakupongeza sana kwa mada zako motomoto. Humu ndani njooni mtoe pongezi na mengineo hapa wale wanao ziona Ni mpya Wanaosisimka Wanaofundishwa Wanaotishwa Na wasiozipenda weka neno kwa...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Ulishawai kuwa nyumbani na wazazi mnacheki movie halafu ghalfa inakuja sex scene..watu wanashikana shikana wanapigana mabusu nk... Dingi anapagawa ili kuuwa noma anakuuliza Josee ushapiga pasi...
5 Reactions
2 Replies
927 Views
Hivi Serikali ikibet ikimpa bayern, Madrid, Barcelona, juve, psg, dortmund halafu ikiweka billion 6 si madogo watapat mikopo [emoji125][emoji125][emoji125]
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom