"A WOMAN IS LIKE A SWIMMING POOL,DONT BOTHER FINDING WHO SWAM BEFORE YOU,WHO IS SWIMMING WITH YOU,WHO WILL SWIM AFTER YOU,JUST ENJOY SWIMMING" By Robert Mugabe
Nawasalimu waungwana!
Poleni sana na mihangaiko ya siku nzima!
Tulio wengi itakuwa tunakumbuka vizuri baada ya kuangalia movie za kikomando kwenye vibanda vya kuangalia video, kama tuliowengi...
Hellow Guys, I have bee Asking These Question To My Self But Still I dont Have Answers
1- Do Fish Get Thirsty?
2-Can you Cry Under Water?
3-Why Do We Call It Building Although it has been...
Kabla Mungu hajamuumba Eva, adam alikua akiishi
maisha yake fresh tu, ila Mungu alipoona ya kuwa
si vema mtu huyu akikaa pekeyake hivyo basi
nitamfanyia msaidizi wake wa kufanana naye ndipo
Mungu...
Panya watatu[emoji232] [emoji232] [emoji232]
Panya watatu walikuwa wanapigiana story nani mkali zaidi!!
Panya wa kwanza!!
Mimi nimekula ile sumu rat rat mara tano lakini sijafa hadi sa hivi bado...
# MWANAMKE
● Anabadili Jina lake
● Anahama nyumbani kwao
● Anaacha familia yake
● Anaondoka na wewe
● Anajenga nyumba na wewe
● Anabeba ujauzito wako
● Ujauzito wako unabadili umbo lake
●...
Tulipokuwa mikoani miaka ile michezo ya utotoni tuliyokuwa tunacheza ilihusisha kujisugua ngozi ya kwenye mkono kwa nguvu, baada ya mda ngozi ilianza kutoa harufu kama ya mavi ya kuku. Ila miaka...
Niliotea kununua Tecno Phantom 6 na kutupa Sumsang Galaxy Note 7. Nadhani ningebaki nayo ingeniingiza gharama ya kuita jeshi la zimamoto au kununua fire extinguisher. I'm so Lucky!!
SIJUI NISEME NINI,ILA KWA KIFUPI MAMBO YANGU MENGI YAMEHARIBIKA NILIKUWA NIMESHAFANYA MPANGO NIENDE CHINA KULE NIKAFUNGUE SALUNI NYINGINE MAANA HAPA NINAZO MBILI
SOURCE GAZETI LA MWANANCHI
Kulikuwaga na ushindani mkubwa sana wa mpira wa miguu kwa shule za sekondari. Nakumbuka timu ya Jamhuri ilikuwaga ndiyo best, ikichukua ubingwa kutoka shule ya sekondari ya Mazengo uwanjani kwao...
HAWA WANWAKE BHANA NI SHIDA SANA,
AKIANZA KUHONGWA TU UTAMJUA, HAWEZI KUVUMILIA UTAMUONA TU
FACEBOOK AU STATUS WATSAP ET OOH WENGINE TUNA NYOTA YA PESA KUKAA KWENY WALET..
POLE YENU MWENY...
Jana nilikuwa site flani za kiutu uzima za kitanzania.Mule Kuna kutafuta mchumba,marafiki,mke,gays (top n bottom) na kadhalika
Sasa nikajaribu kwa kuandka mi ni top, natafuta vesr nikaweka na...
Waliniadi kwenye group la wahuni la whasp bwana ,yani vigodoro vitupu,group lina watu kama 99 wote hamnazo ni mwendo wa mitusi na picha za x tu[emoji35] [emoji35]
Nikasema hawanjui...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.