Wadau habari za jioni
Naudhuria katika hadhara hii kulizungumzia jsmbo ambalo nimeliona katika jiji lenu la dar
Kila nikitembea niaona chura wanarukaruka chura wamejaa kila kona tofauti na...
* *#DOGO_GENIUS*...
.
Dogo wa darasa la tatu anataka apelekwe darasa la 5.. Mwalimu wa darasa akamfikishia habari mwalimu mkuu wakamwita kwa maswali..
.
M/MKUU:
Wewe ndio Samweli?.
.
SAMWELI...
DOGO: baba mi siendi tena shule inaonekana walimu hawana uhakika na majibu yao.
BABA: Kwanini unasema hivyo?
DOGO: juzi walisema 3+4= 7, jana wakasema 1+6=7, halafu leo wanasema 5+2=7 sasa huoni...
Nimekaa nimetafakari sana, kwanini tokea scorpion akamatwe Ndugu yetu na mtaalamu wetu wa mambo ya uchawi Mshana Jnr hasikiki jamvini..
Nkiangalia hoja mbalimbali za watu wanaomtetea scorpion...
Wanawake nilianza kuwachukia tokea shule ya msingi. Ni pale mwanamke wangu aliponiacha na kwenda kwa jamaa mwenye kichongeo kipya ...inauma sanaa...
WANAWAKE SIO WATU WA MCHEZO MCHEZO ASEEE...
Wana Jf juzi nilisahau cm yangu yenye namba ya cm ya mama yangu na nilipotaka kuwasiliana na mama yangu kwa mshangao mkubwa sikuikumbuka kabisa. Namba nilizokumbuka kichwani ni moja ya mchepuko...
*Je wajua?*
*Pengine inaweza kukustua lakini huu ndio ukweli na uhalisia wa mambo:-*
*Chukua mwaka aliokufa Hayati J.K. Nyerere 1999 kisha toa na mwaka uliozaliwa wewe, halafu jumlisha na miaka...
Jinsi ya kumteka beki tatu mpya
1 kuwa mcheshi kwake
2 uwe mtu unaemjali mchukulie kama dada au mdogoako
3 akigombezwa kuwa wakwanzza kumtetea wakemee wadogo zako na ndugu wakileta dharua kwake...
Kuna aina ya wanawake unatakiwa kuwaepuka kabisa kwa gharama yoyote ile, "wanawake wanaodhani uzuri wao ndio bora zaidi kuliko tabia
zao ".
Alafu Sikuhizi Wanawake wa Kuoa ni adimu kama bikira...
Kwa kweli video ya wimbo wa Diamond (Salome) ni nzuri Sana, ila kilicho niboa ni kuwa,hivi kulikua na ulazima gani wa kuvaa kinaijeria wakati ungeweza hata kuvaa kimasai kama ulitaka kuonesha...
Habarii wana JF
Nahitaji kufungua bar ila napata taabu jinsi ya kuchagua wahudumu bora a.k.a baaamedi ,naombeni kujua baamedi bora ni yuupi na yupi hafai ili nikianza usahili wasinichanganye ...
Wachunguzi Wamesema kati ya Watanzani Wanne Mmoja ana Kichaa,Kwa hiyo kama Uchunguzi huo Umefanywa na Watu 20 kati ya hao wachunguzi Wanne ni Vichaa,Sa kuna Umuhimu gani Kuamini Uchunguzi...
Katika hali ambazo sio za kawaida mtu huwa anajisikia ni hii ya kupeana promiss ya kukutana hasa geto. Unajikuta mtu mzima umejiandaa kikamilifu hadi mbu na nzi wote geto umewaua!umepulizia...
Wenzako wanakazana kuongeza Viwanja Na
Magari We Umekazana Kuongeza Tatoo Mwilini
Wenzako Wanakazana Kupanua Biashara Zao We
Unakazana Kuongeza Weupe Mwilini
Wenzako wanakazana kumtafuta Mungu We...
Mshahara ukiingia tu unaamua kula kuku. Wiki ya pili unaanza kula product za kuku (Mayai). Wiki ya tatu hela inaanza kwisha unaaza kula chakula chao(mahindi). Kimbembe wiki ya nne, umeishiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.