JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mgongo ka meza ya kahawa tweendee tweendee... Macho ka kete za pool...tweendeee tweendee.. Mfupi ka mabetriii tweeennnddeee twendee Meno ka folen ya madumuu twendee twendee..
0 Reactions
250 Replies
29K Views
Kipindi cha uanafunzi ,kutoa mimba au kushiriki kutoa mimba ndio kumekithiri , Nani ambae hajawai fanya hiki kitendo?, A-level ndio wengi wanachomoa ujauzito zao,pamoja na chuoni baadhi yao.
0 Reactions
5 Replies
929 Views
Kuna hela ukila urudishaji wake mgumu sana:- 1. Hela ya ada. 2. Hela za vikundi. 3. Posho za Mwenge
5 Reactions
17 Replies
3K Views
Jamaa mmoja kwa kupenda vya kunyonga siku moja aliingia choo cha stendi bila kupenda. Tabia yake ya kuuliza maswali yasiyo na msingi ilimtokea puani na kumwacha mdogo kama kanyeshewa mvua ya mawe...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
*WAMAKONDE* *bwana!*[emoji3][emoji3] Kwao mtwara wanaita *KUMTWARA* Dar-es-salaam wanaita *KUDASALAMA* morogoro wanaita *KUMOROGORO* mwanza wanaita *KUMWANZA* hata moshi nako waita *KUMOSHI*...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Asilimia 98 ya watu wafupi huwa hawapunguzi urefu wa jeans zao, huzikunja kwa chini wakiishi kwa matumaini kwamba kuna siku watarefuka wakunjue jeans zao. HII INAITWA IMANI...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Hi Guys I think this friday is the last day tutaonana kwa wale ambao tutaweza Kuonana. Maana nimepata Scholarship and I will be travelling to London on monday. I will be going for three years...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
O yeh! wale wazee wa kuteleza kwenye lami peku peku, O yeh! kupiga sarakasi na taulo wakati hujavaa boxa, O yeh! kutembea juu ya makaa ya mawe ya moto peku peku, O yeh! namaanisha wale wazee wa...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Bosi wangu karudi safari yake kutoka serengeti..! Si akanitumia picha, lakini ilikuwa network yenyewe tabu.. kwahio picha haikufunguka na kwa vile niliona itachelewa kufunguka na ataona sikumjibu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana Jamvi nani anamfahamu mwl mana kuna fara flani kanizingua hapa Mwanza nataka nijifunze Ngumi ili nirudishe heshima ahsante sana nawasilisha.......!!!
5 Reactions
34 Replies
2K Views
Yakukumbukwa MZ. Adhabu za mwalimu mwarabu, anarusha jiwe kwa manati litakapotua ndo saizi ya eneo lako la kufyeka. Mkuu wa shule anakutoa nduki ukidoji paredi yoyote yeye hana special day...
0 Reactions
2 Replies
735 Views
Wadau nataka wikend ijayo nikacheze mechi kwenye uwanja mdogo wa kulipia (6 by 6),sasa sijui wapi kuna LODGE yenye gharama nafuu(kati ya 15000 hadi 20000) kama unajua nielekeze tafadhali.reference...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
https://chat.whatsapp.com/IxJzMYmzLLsJxY4XIfycVR
0 Reactions
0 Replies
643 Views
Makonda amempa Said aliyetobolewa macho na Scorpion Nyumba Gari ya kutembelea Bajaji mbili Bodaboda 5 Kuna wazee wamenipigia simu wanaulizia ati ni wapi...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
[emoji835]_*Kuna mgonjwa Wa matatizo ya akili kule Mirembe alimkimbiza daktari huku ameshika kisu kikali. Daktari alikimbia sana huku akiwa na hofu kuu. Hatimaye, akafika mahali ambapo hakukuwa na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
MCHUKUE DEMU UMPELEKE GHETTO HALAFU MPIME KWA KUMPA JIKO LA MKAA ULIOLOWANA, AWASHE MOTO MPAKA MANAILONI YOTE YAISHE HUKU AKICHAMBUA MAHARAGE MAGUMU, AYACHEMSHE YAIVE APIKE UGALI, MLE MSHIBE...
33 Reactions
262 Replies
17K Views
Wakuu hamjambo za siku nyingiiiii napenda kuwatarifu kuwa nawakaribisha katika hafla fupi ya mahafali yangu karibun sanaa itafanyik tar 27
3 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari za mapunziko Nilileta mada hapa ndani kuwa nahitaji mwanamke wakizungu ili nimpiku hamonizer pale kikijijini kwetu mahuta Kweli nimefanikiwa kupa mke ingawa kuna changamo kidogo 1. Umri...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
ha ha ha jamaa hafai
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom