JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
mahind ya kuchoma na pilipil,,,jaman wanaume wa dar kwa hiki chakula mmmmmh kwer hampendi ujinga
0 Reactions
4 Replies
752 Views
NIMEKAA NIKAWAZA KUWA KUNA MAMBO KAMA MATATU HIVI WAAFRIKA HATUYAJUI KAMA TUNGEKUWA TUNAYAJUA HATA HAWA WAMAREKANI,WACHINA NA HATA WATU WA ULAYA TUNGEKUWA TUNAWAPITA KIMAENDELEO MAMBO YENYEWE...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Aliyekusadia Ada ya shule baada ya kupewa ada na wazaz na wewe kuila Aliyekusaidi pesa za nauli baada ya kuibiwa/kudondosha nauli na uko eneo la ugenini Aliyekusaidia fedha za matibabu baada...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Unajua ukisoma comment za mtu na ppst zake mara kwa mara huwa kuna picha fulani inajengeka huyu mtu anaweza akawa ana mwonekano upi in real life Unaweza ukawa karibu sana na ukweli au mbali. Watu...
0 Reactions
3 Replies
973 Views
Yaan naona niko bored,njoeni basi online tupige story yoyote ile! Karibuni
1 Reactions
321 Replies
16K Views
Mhhhh asikwambie mtu,sie watoto wa kike tunapenda mwanaume mwenye pesa bwana....hata akiwa wa mkoa,tutavumiliana[emoji108] Upoo We nyanyua vyuma ukawe mlinzi babu ee[emoji108] ,Skuizi hatuvutiwi...
5 Reactions
34 Replies
3K Views
Kuna Madem wanaweza kukugeuza Mtaji au godoro kutwa kukulalia Usipoangalia utafilisika mapema wakati utamu mnasikia wote... Asubuhi tu utasikia bae naomba voucher ya elfu 5.. Hujakaa vizuri bae...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Jaman wanajf ni rangi hipi nzuri mtu yeyote akiivaa hutokelezea, binafsi nalike nyeusi.
0 Reactions
1 Replies
850 Views
Hapa Mkenya anakuelekeza njia ya kufika mahali.. "CHAPA hivi hadi juction then NYONGA left hadi ufikie hiyo mlima UA kabisa hiyo mlima hadi Ukute Mosque.Utaona kichochoro on your right .KATA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhhh! Yaani mheshimiwa kajua kutunyoosha kwa kweli, sasa hivi ukimpata mwanaume wa kukununulia bia tano bar bila shaka huyo atakuwa ni "kaka jambazi" wanaume wa Dar now wamebanwa wanasema hali ni...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wana Jf. Nimeamini kweli pesa ndiyo mpango mzima.Kipindi cha nyuma kijana ukiwa domo zege,sura mbovu hupati demu ila sasa hivi ni werawera pata PESA tu haoo utawaona wanakuja speed...
0 Reactions
3 Replies
810 Views
Nataka kuuziwa mkoa mmojawapo na watu wake, na vyote vilivyomo, naomba ushauri wako, ninunue mkoa gani na kwa nini unadhani ni sahihi mimi kuununua mkoa huo?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Baada ya kuwaza kwa sauti. napingana na hawa watafiti eti tunawaza kwa 1% tu. wengine watafiti wengine tena wamekuja juzi apa, Kati ya watanzania 4 mmoja ni Kichaa Mimi Hapana jamani Mimi...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
*Posho za Mwenge* Mtumishi: baby Mchepuko: yes baby wangu,nambie Mtumishi: safi tu baby wangu...nikuombe kitu? Mchepuko: bila shaka niombe tu bby si unajua sijawahi kukukatalia. Mtumishi...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Zoezi la uhakiki halitasahaulika maishani!
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Sisi tunaoishi mwanayamala, ndugu zetu Wa magomeni mazense kagera tandale...kwa hilo tunashukuru sana Rais wetu Magufuri... Maana siku hizi japo sijaoa ila naamini heshima inarudi kwenye ndoa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
*Natafuta kiki Remix - Mtoto Nux* _Mbeya Day Records_ Nataka nitoke kwenye gazeti, Niuze sura Niseme nilichezaga karate Shuleni nipate bonge la kesi, Niumizwe sura, Nilete matata mpaka kwa Joyce...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Mpenzi wangu anafanya kazi PHARMACY Siku nikiamua kumuharibia cku yake Huwa naenda kununua CONDOMS for NO reason SOMETIMES naenda kununua hata mara tatu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naifurahia sana tamthilia hii.yaani sasa HV ni tamu.ulikuwa inaniboa ilivyoanzishwa miaka ya 90.lakini sasa ndio inavutia.maisha ya bongo yanaakisiwa sana.hongera lincon kwa kuwa Mwenye ukali Na...
0 Reactions
2 Replies
658 Views
kwa mfano uongozi wa jf ukatoa ofa kwa kila member wa jf ampige ban ya wiki mtu mmoja..utampiga ban nani? Aisee mimi ningemdunda ban huyu anajiita cristela...aende akajipange upya.
1 Reactions
126 Replies
10K Views
Back
Top Bottom