Supasta alipopata mkwanja akaamua kuhamia mitaa ya watu wenye pesa akiwa na mke na mwanae. Siku moja mwanae alipokuwa anacheza na manati akavunja kioo cha nyumba ya jirani. Supastar na mkewe...
Habari wakuu....
Hizi ni alerts zangu za JF na zimepatikana kwa kutoingia JF kwa siku moja tu......
Umewahi kufikisha alerts hizi?....Kwa muda gani?......Show off your alerts here
Utafiti wangu unaonesha wana JF wengi wanapenda 'michambo' kuliko mada.. Wakati mleta mada anaweza kuambulia likes mbili tatu, comment moja tu inaweza kuambulia hata likes kumi!
Niaje wazeiyaaah....
EBANA SAWA :
Cku ya tatu leo nipo naperuzi mitaa mbali mbali ya hapa wanapaita jiji la Mwanza.....
Kwa kweli kitu kikubwa nilicho notice utofaut kati ya BONGO na mikoani ni...
Hapa utafiti wangu ulilenga kuangalia sura nzuri tu.mambo kama tabia ya mtu,chura, na shape sikuyajumlisha.
Na haya ndio matokeo ya utafiti wangu:
1.Arusha
2.Manyara
3.singida
4.Tanga
5.Tabora...
Utakuta mwenye nyumba anajipodoa na kilivyo hakidanganyi Kweli anapodoka
Anashinda saloon kujipodoa
Style tofaut za urembo wa nywele,
Lakini house girl hata mafuta usoni hapaki lakini akipita na...
Jaman wakuu naona upole wangu unaniponza ni takribani mwez tangu niachane na girlfriend wangu ila cha ajabu had leo kila nikifungulia simu lazma nikute matusi na mabango kutoka kwake had naogopa...
Tujikumbushe nyimbo tulizowahi imba tukiwa shule za msingi darasani au kipindi cha mchaka mchaka....
sina nguvu tena eenhe
ya kuua simba eenhe
simba ni mkali eenhee
aliua kuku eheee
akaua fisi...
Toka nizaliwe hakuna siku nimekereka kama jana!
Niko na sista tumetoka supermarket kununua vitu vya homu tumeshikana mikono mara nakutana na washkaji zangu wa kazini.sista akawa katangulia...
Hii ni kauli ambayo sitokaa niisahau siku nilipomuaga mama yangu mzazi kuwa naenda mjini kutafuta maisha, lakini kwa ukarimu na unyenyekevu mama alinitizama na kisha...
JOB VACANCY...
Je,unatafuta ajira nzuri inayolipa?
1.Mshahara Tsh 900,000/= kwa mwezi.
2.Mda wa kazi kuingia saa 8.30 asubuhi
hadi saa 4 jioni.
3.Allowance 300,000/= kwa mwezi.
4.Siku za kazi...
Mwaka huu nimepanga namimi kumiliki smartphone. Katika pitapita nimetokea kuwa fixated na Lg G5. Nimeipenda mno. nitafanya juu chini niinunue. Ni simu gani wewe imekubamba sana na unatamani kuwa...
Kiukweli mimi utotoni mwangu kukata mwezi mmoja sijaoga ilikuwa ni kitu cha kawaida sana.
Utotoni mwangu kushiba mpaka chakula kiishe.
Utoto mwangu nilijua kila msichana ana HIV.
WEWE KIPI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.