JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Copied somewhere... Leo nimeingia Supermarket pale Kibo Complex Tegeta,..Basi nikachukua Mkate Mkubwa na Maji, Ajabu tangu nachagua bidhaa kwenye Shelf kuna Mzee mmoja alikuwa ananifuata nyuma...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamaa karudi home ghafla na kupata mshtuko kukuta mkewe kipenzi ana bwana ndani, baada ya zogo kubwa, wanaume wakaenda ukumbini kumalizana kiungwana; MUME: Sikiliza mi nakusamehe niachie mke...
5 Reactions
33 Replies
2K Views
Hapa tu ndipo Wamarekani wananishangaza, Na ujinga ujinga wao woooote lakini kuna vitu lazima wasifiwe tu. Hakuna namna tena.............. Nimeguswa na jinsi raia wanavyomfurahia mwanajeshi wao...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Kila mtu ana chaguo lake..hebu tupia namba au herufi ya type zako kulingana na jinsia yako. NB:USISAHAU KUTUJUZA WEWE NI YUPI PIA KATIKA HIZO HERUFI AU NAMBA.
8 Reactions
238 Replies
19K Views
*TANZANIA ina watu wa 5 sio wa Mchezo Mchezo* 1. Mh. MAGUFULI 2.Mh. MAJALIWA 3.Mh.MAKONDA 4.SCORPION 5.Mwl. FRANK MSIGWA
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza binadamu ameigonga bodaboda badala ya bodaboda kumgonga yeye!![emoji23] [emoji23] [emoji23] , bonyeza hapa kuona video
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Teh teh teh teh teh teh wote wazima wa afya? basi haina majoto,pamoja sana me nipo hapa napata supu ya kongoro na chapati karibuni sana
0 Reactions
12 Replies
984 Views
Wabongo kweli hawatak ujinga eti baby we ndo scorpion wangu umenitoboa macho wengine sioni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Haya mm ntaanza....."Tegeta na na gongo la mbali wapi mboto?"...Twende sasa
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi kuna mwenye nako anitumie? Kanaimbwa... [emoji444][emoji444] tumeipenda wenyewe [emoji444][emoji444] [emoji444][emoji444] chaguo letu wenyewe [emoji444][emoji444] [emoji444][emoji444] acha...
1 Reactions
7 Replies
961 Views
Jaman kusema kweli ni wazi kuwa asilimia 99% ya wana JF tumepitia maisha ya shule sipendi kutetea kuwa hamna wanafunzi wakorofi ila pia kuna mazingira mengne ya migomo ambayo huchangiwa na walimu...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
HAYA NDIO MADHARA YA KULALA KANISANI Kanisani leo kuna mdada alikuwa amelala, akaamka akasikia Pastor anasema "SIMAMA" Yule dada akasimama akashangaaa kanisa zima linamtizima kwa mshangao...
8 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za wikendi wanajukwaa.. Niko hapa na kidaftari changu pamoja na kikokoteo (calculator) najaribu kuorodhesha mahesabu naona maji yameshazidi unga.. Ngoja tu nikoroge uji ninywe
0 Reactions
1 Replies
613 Views
Yaani kumwambia tu anakubali hapohapo. Aaah ndo maana mnaachwa mapemaa Eti wakuu mnasemaje
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamaa alikuwa kwenye daladala pembeni kuna dada mrembo kakaa. Kamlia timing kwa muda kisha halafu akamuuliza "Samahani dada unaitwa Google?". Dada: "hapana, kwanini umedhani naitwa hivyo?". Jamaa...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Mmejichimbia wapi watu wa dar sinza maeneo ya kijiweni karibuni tugawane umasikini tubadilishe mawazo
0 Reactions
2 Replies
569 Views
Nilienda sehemu moja kuchangia damu ile nimemaliza wananiambia biscut na soda zimeisha! nikachukua damu yangu nikala kona sitakagi ujinga mimi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom