TAMKO LETU WALIMU
Kilichotokea Mbeya siyo waalimu waliompiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wa chuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga.
Tafadhali sana tusichafuliane majina...
Usiku wa kuamkia leo nikiwa ktk mihangaiko yangu ya biashara Bunda mjini nilichukua chumba ktk nyumba moja ya kulala wageni, wakati nikijisajili ktk daftari la wageni nikawa nimekutana na mteja...
Kilichotokea Mbeya Day sio kwamba Waalimu walimpiga mwanafunzi ila ni wanafunzi wachuo wamemchangia mwanafunzi mwenzao wa sekondari na kumpiga. Tusichafuliane majina. *Waalim hatupendi ujingaa.!*...
Kupata mke mwenye akili na mwenye kujiheshimu ni jambo la kumshukuru MUNGU!!
Ninafurahia sana kuwa na mke mwenye busara, kujiheshimu kwingi na akili za kutosha!
Kipimo cha haya yote ni...
Bongo land kwa sasa kuna joto kali sana
Jitahid kuwa msafi Ndugu yangu
kira asubuhi jaribu kuoga sio kunawa na kuondoka
Yan unakutana na mtu ktk public bus athee acha
yan mtu ananuka harufu...
Siku moja manyama alikuwa darasani mwalimu akiuliza maswali..sasa kila swali mwalimu akiuliza akaona wenzake wananyooosha kwa nguvu sana.... Mwalimu akaendelea kuuliza ghafla manyama naye akaanzaa...
Ukubali ukatae...
Muda pekee ambao unaweza kumzoea DINGI ni pale unapomfundisha kutumia SMARTPHONE….
Wanakuwaga wapole sana aisee unaweza hata kumuagiza maji ya kunywa akakuletea….
Sipendagi...
Kenya wana utaratibu wa kuwafanyia enterview live kwenye televisions watu wanaotaka nafasi za juu serikalini, kama jaji mkuu, jaji mkuu msaidizi, katibu mkuu n.k,
Natamani cku moja huu utaratibu...
Binti: Baby naomba simu nicheze game.
JAMAA: Hiyo hapo chukua.
BAADA YA MUDA
Binti: Na huyu Mariam ndio nan?
JAMAA: Hiyo level sijafika.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]...
MKALIMANI AZUA KIZAA ZAA KANISANI
PADRE We need to thank GOD for Goals that we set in our hands
MKALIMANI; Tunamshukuru mungu kwa magoli yote ya mikono...
Siku hizi wakweli wanaitwa wambea ,na wambea wanaitwa wakweli ,maana kuna jamaa hapa mtaani akikuona umeoa na unamchepuko basi lazima akuite na kukukanya uache tabia ya kuchepuka ,majuzi kuna dada...
kwa muda mchache niliojiunga jf nimegundua mambo ambayo huwa yanawakera mno wakiwa jf
1: kuleta habari inayowagusa hisia/maslahi watu wengi ikiwa haina chanzo cha taarifa
2: kuleta hoja/taarifa...
habari zenu jamani, habari za siku nyingi. Baada ya kupotea kwa muda mrefu kutokana na mambo flani flani sasa nimekuja tena.
Najitokeza kutafuta marafiki wa kuchil nao na kubadilishana mawazo...
Kuna deal la faster faster hapa.
Ukiwa kama mtangazaji, Kwa kutumia lugha ya Kiingereza ;
Tangaza goli alilofunga Hamis Tambwe na jinsi mashabiki wa Simba waling'oa viti uwanja wa Taifa...
Askari wametumwa nyumba iliyokuwa kuna ugomvi wakafika wakatakiwa kuripoti kwa njia ya simu juu ya walichokikuta
ASKARI: Mkuu tumekuta mama mwenye nyumba kampiga mumewe chuma cha kichwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.