JF Chit-Chats and Jokes

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nimeingia Supermarket pale Kibo Complex Tegeta,..Basi nikachukua Mkate Mkubwa na Maji, Ajabu tangu nachagua bidhaa kwenye Shelf kuna Mzee mmoja alikuwa ananifuata nyuma mpaka nikaogopa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Hodi.. Humu ndani.. Kuna binti ambae nilizoeana nae!! Na alifanya vituvambavyo mim nilihici ana nipenda kama kuomba out na mimi, kunipa hug kw sanaaaa iyo ilikuakila sikuu.. Na kupiga simu kila...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Umemtumia mtu text lakini hajakujibu, meseji imepokelewa lakini hajajihangaisha kukujibu. Ukaamua kuiweka simu pembeni kuendelea na mambo mengine baadae unarudi bado unaona kimya hajakujibu...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Huyu jamaa ni shida, Chezea wimbo wa Taifa! *_Mke mmoja alimpa mme wake redio aende nayo chooni ili asiboreke kwa vile huwa anakaa muda mrefu. Basi alvyotoka akamuuliza,''ehe mme wangu ulienjoy?"...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nafikiri 1×3=3 na pia 3×1=3 au sio msomi. Sasa nieandikiwa dawa kunywa 1×3 mi nimekunywa 3×1 sio sawa wasomi kwa hesabu ya hapo juu.
0 Reactions
0 Replies
610 Views
Misifa kwangu kawaida napenda sana sifa ila si za kijinga (SIPENDI_UJINGA) JINA LANGU NI ADIMU NA NI MAARUFU nashukuru hili [emoji120] [emoji125] Haya zamu yako kujisifia
0 Reactions
6 Replies
780 Views
Naona hilo neno la Wanaume wa Dar ni buzz kwa sasa, je lina maana gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
*Kadri Mbinu zao zinavyozidi kujulikana ndivyo na wao wanavyobadili mbinu na kuja na New Models za kufikisha Ujumbe* *WANAITWA WANAWAKE* *Ile style yao ya Bebi naomba Laki 3 nna shida...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kuna Aina 3 za WANAWAKE na Style zao za Mahusiano ya Kimapenzi,kwahiyo Unapochagua Aina unayotaka uwe na uhakika utaweza kuimudu... TYPE 1: Aina ya KWANZA ni ile ambayo inaitwa CORPORATE...
27 Reactions
159 Replies
15K Views
NAMNA WAZAZI WANAVYOONGEA NA MABINTI ZAO KATIKA UMRI TOFAUTI! Miaka 13: Usipende wavulana ni wabaya. Miaka 18: Sitaki nikuone na yule mvulana tena! Miaka 23: Lini utatuletea mchumba wako? Miaka...
1 Reactions
0 Replies
679 Views
Hebu fikiria: GARI YA MILIONI 50 UNALAZA NJE… mke wa laki sita unalala nae ndani…. BANGI SI NZURI JAMAN Sipendagi ujinga mimi.
1 Reactions
1 Replies
983 Views
Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku...
0 Reactions
0 Replies
960 Views
*MKALIMANI AZUA KIZAA ZAA KANISANI* *PADRE* We need to thank GOD for Goals that we set in our hands *MKALIMANI;* Tunamshukuru mungu...
0 Reactions
2 Replies
892 Views
Huu ubuyu umekaaje nasikia yule video queen wa kujiita amber lulu kadakwa na poda huko chuga mwenye mo story amwage
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii sasa kali!!! Mwalimu kauliza swali darasani wanafunzi wataje kazi za wazazi wao: TINA: mimi baba yangu mfanyabiashara mama yangu mwalimu. MWALIMU: Safi, haya juma JUMA: Baba yangu dereva mama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini? *Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu? *Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu. *Boss*:-umesoma mpaka wapi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
eti amerudia analalamika eti mwalimu kamkosesha..wakati anajua kapata..ikabidi nimwambie anionyeshe ni wapi amekoseshwa..akanionyesha.. ilikuwa ni methali inasema simba akizidiwa...dogo akawa...
3 Reactions
5 Replies
796 Views
sijui tatizo kwangu au kwao ila mwenye uzoefu na haya mambo aniambie nimenyimwa game mara kibao na wanafunzi wa A level na O level mbaya zaidi hawahitaji pesa kama madem waliopo mtaani hali...
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Aisee nimekuja kugundua hii nyimbo ya Salome ina matusi tena ya mwendo kasi Hasa ka reyvanny Kwanza anaanza kama anamsifia mwanamke eti "kioo hakidanganyi mama umejipodoa umepodoka, mwendo na...
8 Reactions
23 Replies
8K Views
Ilianza Robert Mugabe IkaJa .....Mwendokasi halafu Kupatwa kwa..... ikaingia Mungu anakuona Na sasa Sitaki Ujinga mimi Sasa mie nasema ACHENI UPUMBAVU
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Back
Top Bottom