TANGAZO TANGAZO...
WASUKUMA WOTE KESHO MNAOMBWA MFIKE KIJIJI CHA MAKUMBUSHO KUANZIA ASUBUHI SAA 3.
KUTAKUWA NA MAANDAMANO KUTOKA HAPO KUELEKEA IKULU KWA MHESHIMIWA RAIS.
DHUMUNI LA MAANDAMANO NI...
Aiseee, miaka inasonga na hii JF imetufanya tumekuwa kama walevi vile. Yaani kufumba na kufumbua tayari nimegonga 6 years nikiwa member wa JF. Kwa kweli wakuu nimekuwa siyo mchoyo kwa mambo mengi...
Mi binafsi nakumbuka siku nilikula fimbo nzuuuuuuuuri kabisa huku naangalia pilipili zipo kwenye kisahan tayar kwa kuja kunisulubu,
Jaman balaa lote hilo kisa JENI, alaf jeni mwenyewe hata...
MUME: "Mke wangu nasikia John katembea na wake za watu wooote hapa mtaani kasoro mmoja tu!"
MKE: "Mmmh! basi huyo aliebaki atakuwa MAMA MBILINGE KISIKI, maana yule mama ndo ANAJIFANYAGA MGUMU...
Leo nilikuwa naangalia uzi fulan uliowataka wadada wachague mwanaume mwenye mvuto hapo nikaona ID zinahusika maana wenye ID mbaya wote tumerukwa futi mia    sasa leo natoa pendekezo la kila...
Kwa wale tuliopitia jeshi, mnakumbuka maafande walivyotupa za mwaka, anaweza uliza wewe mbona huli wenzako wanakula, unamjibu afande sina appetite, si uazime appetite kwa wenzako, wengine wana...
Kuna marafik zangu mashabik wa simba wamekuja home kunisalimia leo, viti ndani vipo ila nimewakaribisha kwenye mkeka kwa usalama zaid...
maana hawa jamaa ni matope kabisa
Nachukia ugaidi sana kutokana na makundi kama haya kuua watu:
AL_SHABAB
AL_QUEDA
Hata kwenye Mathematics kuna kikundi cha kigaidi AL_GEBRA na ndo sababu ya mimi Kuchukia Hesabu
SIPENDAGI UJINGA MIMI
MARA YA KWANZA KULALA UCHI
hii ni stori yupi umuhusuyo *linda* binti wa kigogo mmoja mjini Arusha
Akiwa katika huzun na majonz baada ya kumaliza fom6 na kupata zero katika mtihan wake wa...
Nilipokuwa shule ya msingi, kuanzia darasa la 4
hadi la 7 maksi zangu za hesabu kwenye mitihani
zilikuwa zinacheza kwenye 03%-
08%. Matokeo yalikuwa yanatangazwa mbele ya
darasa!
Yanapotangazwa...
Nimetafakari Sana Kuwa Kwa Jinsi Watanzania Tulivyo Busy Na HARAKATI Za KIMAISHA Iwe Kwa WANAUME Na WANAWAKE Hali Inayopelekea Wengi Wenu ( Mimi Simo ) Kukosa Muda Kabisa Hata Wa Kunyoa NYWELE...
[emoji121]
Wakuu,
Kwa mara ya kwanza kabisa natarajia kuingia jijini daasalama mwaka huu.
Nimekata tiketi ya basi matataaa la "Maning nice classic coach" ambalo lina flat tv ndani.
Na siti yangu...
Wana MMU hope mko poa!
Shida yangu kubwa ni kila nikianzisha mahusiano na mchepuko nakamatwa na wife, simalizi hata wiki..
Mpaka nimekuwa nijihisi mwenye gundu...naombeni msaada...
Waafrika wengi na hasa Wabongo wa kiume tunapenda wanawake wenye makalio makubwa yaani vibonge. Ulaya mwenye soko mwembamba. kwanini kuna tofauti hizi?
katika kupitia profile ya jf.nimeona sehemu ya followers na idadi yake sasa Mimi nahitaji kuongeza followers lakini pia na Mimi ni follow wengine..
kwa wale wanaohitaji tuwe follows tafadhari...
Nakutana na lafudhi za majirani zetu!
Zimetawala mpaka vijiwe vya kahawa!
Nimekaa hapa kijiweni sielewi kama hawa wanamaanisha kua wapo au hawapo!
Inamaana jamaa zetu wamelala namna hii mpaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.