Umerudi gheto mida ya saa mbili usiku unaingia ndani ghafla unamuona nyoka kanyanyua shingo juu anachezesha mkia na ki-ulimi kinatokatoka nje....
kwa ujasili unaamua kuchukua fimbo ili umuue...
Leo ndo siku yangu ya kuja duniani
Nawashukuru wazazi wangu kwa kunilea mpaka nimefikia hapa nilipo
Nashukuru kwa malezi yenu ya kiroho,kimwili na kiimani
Ninawatakia na wote waliozaliwa leo...
Yaani ukigundua nakuangalia tu unaanza kufanya makusudi kubana sauti ukiwa unaongea na wenzako,,
Kingine ukigundua macho yangu yanaangalia sehemu ya chini ya mwili wako unakunja nne na magawuni...
...baada ya kutoka kanisani basi tupo nje ya kanisani tunasalimiana na Mchungaji,kwa kuwa huwa sitoi sadaka ikabidi nifiche simu yangu ili mchungaji asiione maana ni ya gharama,kabla sijaiweka...
Kwa jinsi lilivyo niponza hili neno silitamki tena.
Jana nilijipa kazi ya kufuta vitu visivyo na umuhimu kwenye sm yangu. Huku nikijisifia sipendagi ujinga Mimi.
Katika futa futa si nimefuta...
Mie ndio nitakaye ishi naye daima Na milele.
kwa hiyo maswala ya sijui hawe mzur awe na shepu...awe na mpododo...awe na mpwedede...
Hasiwe flat screen awe na chogo...
Hayo mambo ni ya kwetu...
Ay yo eyooo wassup bruh/Sis,
RE: YO BOY IS APPLYN FOR SOME SHIT ASS HUSTLIN' AS AN ENGINEER
Am a mutherfuckn dude aged 22. As a nigga, I gatta hustle hard u knw. So I wanna hustle ass out in yah...
Wadau mimi naomba nigusie kidogo juu ya swala hili la vikoba..,black...,michezo kwa baadhi ya wanawake wasiojitambua...
Mtoto wa kike utakuta anaenda kukopa black bila kumwambia mmewe huku...
Upo sehemu unatembea kwa
miguu,
kati kati ya safari yako ukiwa huna
hili
wala lile unashtuliwa na Kofi moja
zito
la Uso mpaka unafumba macho,
ile
hujakaa sawa inakuja Ngumi ya
pua..
unajaribu...
Wasalaam wana Jambi!
Katika tafakuri yangu nimepata "kajindoto" kua kama taifa timing yetu imekua ndivyosivyo! Yaani mtiririko wa maRaisi ungekua JKN-JPM-BWM-AHM-JMK ingalu hizi hoja za uchwara...
Wapendwa nipo safarini kuelekea nyumbani Yaeda....nipo ndani ya basi linaitwa Buibui....lina koroboi juu.....niombeeni nifike salama....nitarudi na nyanyi kausha......kwa atakaependa.....anipe...
Jana Nlikua napita mtaa Flani Ivi nikakutana na scenario,mama kamwagia mtoto wa miaka 4 maji Ya moto usoni kisa kaenda kidokoa Mboga kwa Jirani!!nlijawa na Hasira kama Yote nikataka nimrukie sema...
Ivi wandugu kutokana Na ma tatizo ya kukatika Umeme mala kwa Mala una Toka kwa mihangaiko yako umechoka mida km saa mbili ivi usiki una ingia geto ile una washa taa una muona nyoka...
Hello wana Chit - Chat
Nilikuwa napiga story ofisini na mates wenzangu tulikuwa na story za namna ya kuimaliza weekend ya mwisho wa mwezi bila vishawishi vya kutumia pesa ovyo ndio ikaja topic...
Jamaniheeee, wimbo ni zendindi, zendi ndi.... unalia ndani ya mwendokasi, Dreva anauliza kituo, kabla hatuja fika magomeni kwa mbali wimbo wa KIOOO akadanganyi Mama, umejipam,ba umepambika, mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.