Wanajamvi kwanza wasaaalam!
Napenda kushare nanyi hii siku ambayo ilikuwa kizungu mkuti lakini yote ikiwa ni utoto plus utundu.
Tukiwa na tabia ya kudandia magari mimi na wenzangu siku moja...
Wanaume wa mkoa jamani nimejuta na sitorudia tena kutoa penzi langu kwa mwanaume wa mkoa duuh
1. Mwanaume mchafu kuoga kwa kulazimishwaa
2. Huo mkwapa utasema kuna kichaka
3. Usafi wa mdomo...
Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
*MUME*: Fungua mlango!
*MKE*: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako...
```Nilisimamishwa na polisi jana usiku wakaniuliza mbona natembea usiku nikawauliza kwani usiku watu huogelea..```
*Sipendi ujinga mimi*
```Niko kwa landrover sasa hivi i think wananipeleka...
Natafuta wanawake marafiki wa kalamu, email, whatsapp, n.k, wanaopenda kusafiri (kwa gharama zao) nje ya Tz, wanapewa nafasi zaidi, . Urafiki wetu ni wa kujengana, kuimarishana, kutiana moyo na...
Alafuu mjue haipendezi dumee ziimaaa na midevu kibao eti profile yake anaweka picha ya mwanamke!!!!! Mmmh au anataka tumwite joke dume maana hvhv haiwezekani!!!! Sipendagi ujinga!!!!!
HAPA LAZIMA UKIMBIE
Nilikutana na mshikaji wangu Tandika stendi ya
mbagara, akanistua kwa nyuma akisema "malogy
mathematic ndio wew? upo kaka?". Nikamjibu
nipo k iongozi tunasindikiza wenye maisha...
Jamaa X kaitwa kwenye Usaili katika kampuni flani ile wamejipanga wanasubiria kuitwa ikifka zamu ya Jamaa X
Ameitwa ile anaingia ndani akaambia WAIT PLEASE...Jamaa X akajibu 75kg boss.
Ilibidi...
Ni matumaini yangu muwazima
Ninataka kununua gari,mojawapo ya hayo magari huwa napenda harrier lexus au nissan xtrail wajuzi wa mambo naombeni mnipe details za haya magari na bei zake kwa sasa.
Mods wana-favourism,
Jamii forum kuna pendelea zaidi wanawake kuliko wanaume.
Au anayemiliki hii Jamii forum ni mwanamke?
Topic zinazoponda wanawake zinafutwa, lakini topic zinazoponda wanaume...
Ni wakati gani unakasirilika au uliwahi kukasirika sana na pengine ukatenda lisilotegemewa!
Jibu ni rahisi sana. Fanya kuweka kumbukumbu ya mara ngapi unatumia maneno "kama" na "lakini" ambayo ni...
Habari zenu wakuu.
Kama kichwa kinavyojieleza naombeni ushauri nataka kufungua account ya US Dollars sijui ni benki ipi yenye masharti nafuu.
Natanguliza SHUKRAN!
Two ghosts met and both chat
about how they died.
1st ghost : How did you die?
2nd ghost : I died of cold.
1st ghost : How does it feel
when you're
dying in cold?
2nd ghost : Actually, I was...
Mayai ya kienyeji yanapunguza sana ujasiri, wanaume wa dar hapana.
Mwenzenu anapigwa adi kutolewa macho nyie mnakula chipis pembeni??!!!!!!!!!
Bora muamie Dodoma kije kizazi kipya na shupavu
Siku za hivi karibuni kwenye magazeti mbalimbali kulichapishwa habari kuhusiana na utafiti wa vichaa uliofanywa hapa nchini.
Utafiti huo ulionesha kuwa kati ya watanzania wanne basi mmoja ni...
Nyumba ya mlevi mmoja nje kuna shimo kubwa la maji bila mfuniko.
Siku moja karudi usiku kalewa tooooop, mambo yakawa hivi:
*MUME*: Fungua mlango!
*MKE*: Leo sifungui! Nimechoshwa na ulevi wako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.